gideonbooty1
Member
- Sep 27, 2015
- 6
- 1
Nikiwa kama mtanzania nashukuru kwa kumaliza uchaguzi salama, na nchi ina amani tele ila mashaka tu yamejaa moyoni mwangu.
Serikali zote zilizopita tumeona utendaji wa kazi ulivokua unafanywa na serikali kupitia mawaziri, nikiwa kama Tanzania naomba mweshimiwa ufanye uteuzi wa mawaziri safi ambao hawako kwenye system yeyote ya kichama.
Hapa namanisha kuchagua mawaziri ambao si wanasiasa, ndugu zetu Kenya rais Uhuru Kenyata alifanya uteuzi wachache tena waliomba kazi kwa kutuma barua na kufanyiwa intervew.
Njia hii itapunguza rushwa miongoni mwa wanasiasa.
Mungu ibariki Tanzania.