ww ndo hujui chochote bora huendelee kuchunga mbuzi tuu unataka kucheza muziki ambayo huwezi kucheza utaabika bure kama ccm wanakutumia kama kondomu muda wao kuendelea kuwepo madarakani umeshafikia kikomo kula za mwisho ushauri wa bure huuUdini ndani ya chama ndio sababu ya Zitto kuonekana msaliti.Zitto yupo sawa na msimamo wake na dini yake na maslahi ya taifa kwa ujumla lakini pana ukweli ambao umefichwa hapa ambao Watanzania wengi hawajuwi.
mtoa mada kaandika vzr bt wachangiaji ndo wanahrbu jukwaa
jamani tumpe kila mtu uhuru wake wa kuamua haijalishi kuwa ni mwana ccm,cdm,cuf,act ,
tukianza kubezana na kudharauliana huku ipo siku tutatafuta kulipuana!!:llama::llama:
wengi tunaamini zzk alfanya kosa kubwa la usaliti kama ilivyokuwa kwa yuda lkn isiwe kigezo cha kumhukumu
maandiko yanasema kuwa unapoelekea ukombozi unabii lzma itimie,,ila ole wake yule ambaye unabii utatimia kwake,,atalia na kusaga meno siku ya mwisho
kwa hiyo cha msingi tupambane kwa ajili ya ukombozi then tusubiri kiama cha walioifikisha tz hapa ilipo
ww ndo hujui chochote bora huendelee kuchunga mbuzi tuu unataka kucheza muziki ambayo huwezi kucheza utaabika bure kama ccm wanakutumia kama kondomu muda wao kuendelea kuwepo madarakani umeshafikia kikomo kula za mwisho ushauri wa bure huu
Udini ndani ya chama ndio sababu ya Zitto kuonekana msaliti.Zitto yupo sawa na msimamo wake na dini yake na maslahi ya taifa kwa ujumla lakini pana ukweli ambao umefichwa hapa ambao Watanzania wengi hawajuwi.
,
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tuhuma nyingi toka ndani na nje ya chama chako (CDM)
[/FONT][/SIZE][/COLOR]
Mheshimiwa Zitto,
Namshukuru Mola kwa kunipa nafasi na wazo hili la kukuandikia barua hii ya wazi.
Kwanza nianze kwa kusema kwamba mimi ni miongoni mwa Watanzania ambaye nilikuwa ninavutiwa sana na misimamo yako ya kizalendo ndani na nje ya Bunge. Ulivunja rekodi pale ambapo ulitolewa Bungeni kwa sababu ya msimamo wako thabiti katika kutetea maslahi ya umma.
Ni muda mrefu sasa kumekuwa na tuhuma nyingi toka ndani na nje ya chama chako (CDM) ya kwamba wewe pamoja na watu wako wengine wa karibu mmekuwa mkikiasi chama na kufanya mambo ya kudhoofisha harakati za upinzani nchini Tanzania. Mheshimiwa, vilevile kumekuwa na tetesi nyingi ya kwamba chama cha ACT ambacho kinasimamiwa na Ndg. Mwigamba kama Katibu Mkuu ni moja ya mikakati yako ya kupambana na CDM.
Mheshimiwa, natamani kupata kauli yako kuhusu msimamo wako na ukweli wa moyo wako kuhusu chama cha ACT. Naamini ni Watanzania wengi pia wenaopenda kusikia msimamo wako wa kisiasa.
Asante kwa kutumia muda wako kusoma waraka huu mfupi, na ninaamini kwamba utachukua hatua ya kuweka wazi msimamo wako.
Mungu Ibariki Tanzania.
Udini ndani ya chama ndio sababu ya Zitto kuonekana msaliti.Zitto yupo sawa na msimamo wake na dini yake na maslahi ya taifa kwa ujumla lakini pana ukweli ambao umefichwa hapa ambao Watanzania wengi hawajuwi.