mawazoyangu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 324
- 65
Waheshimiwa awali ya yote kwanza shikamooni!!
Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa uongozi wenu uliotukuka kwa kuiongoza nchi yetu kwa uadilifu na usawa uliotukuka ni pongezi sana kwenu waheshimiwa wangu.
Wiki Jana mh waziri mkuu ulizungumzia suala la mapato ya nchi kufuatiliwa na tra pamoja na tiss,pccb na polisi wenye silaha ambayo ni task force iliyotengenezwa n kushirikisha vyombo vya ulinzi nchini ili kuondoa suala la ukosefu wa maadili na kutengeneza hofu binafsi/individual fobia yote haya ili kuongeza pato la taifa letu linalokua kwa kasi. Sasa waheshimiwa mnaonaje kama kwanza kuwepo na barriers ambazo ni rasmi kwa kila barabara na kuwepo na vyombo vya ulinzi na usalama maana yangu ni kuwa polisi akikamata gari tiss na pccb nao wawe around na gari na kila gari ili kujua makosa either ya gari au ya dereva husika na vifungu vya makosa na in case of fine dereva apewe notification letter na risiti take ya ERV ya njano pesa iingie hazina maana kumekuwepo mchezo wa kupewa notification letter tu ERV hawatoi sasa hii feza sijui yaenda wapi na kwa maslahi ya kina nani wachache. Hili zoezi likizingatiwa litaondoa ubabaishaji wa kuchukua elfu 2 hadi 10 za kuhonga trafic police na badala yake tufanye amendments ya traffic case regulations fine zianzie elfu 5 hadi elfu 10 watu wengi wata afford kulipa na hapo watu wengi watalipa fine maana MTU kulipa elfu 5 hadi 10 hataona shida yoyote lakini kwa ishu ya mapato itakuwa imekaa vyema sana na itaondoa suala la rushwa na uonevu katika jamii yetu.
Wenu mtiifu,
Mtanzania asili