Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,506
- 103,167
Uvumilivu una kikomo, mimi nikiwa kama mdau wa jimbo la Ukonga kata ya buyuni wakazi tunaotumia barabara ya Italian kuingia Kigenzi ni kwamba tupo kisiwani, kuna two option za kuingia upande wa Kigenzi kwa Bafana Bafana either uingilie kwa Zoo au uingilie Italian.
Lakini jambo la kusikitisha kabisa njia hizi zote mbilihaziingiliki wala kutoka, hata ile ya kwenda kutokea kitunda haipitiki pia, ukiwa na gari yako binafsi ni mateso na ukiwa mtumiaji wa bodaboda ndio usiseme, maisha yamepanda bei, umbali wa kilometer moja tu kutoka barabara ya lami kuingia huko ndani bodaboda ni shilling 2000 that means kwa siku unahitajika kuwa na shilling 4000 za kupanda bodaboda tu kutoka nyumbani na muda wa kurudi hii ni nje nauli za daladala kwa route utakayokuwa unaenda kwenye shughuli zako na pia kutokana na ujenzi wa flyover Tazara watu karibu wote wa ukanda huu ushuka mwisho wa lami au gongo la mboto na kuunganisha treni kuwahi makazini.
Maisha yamekuwa ghali haisemekani watu wapo kimya lakini kimya chao msichukulie ni mazuzu, jambo la kusikitisha zaidi diwani wa kata ya buyuni na mbunge wa Ukonga wote ni Chadema, inasikitisha na inaudhi na haivumiliki kamwe.
Leo nimeamuwa rasmi kuihamisha familia yangu na ninaicha nyumba yangu ya Buyuni na nitarudi kuishi nilipotoka awali siwezi kuishi kwa mateso ya aina hii ndani ya capital city tena kwenye territory inayoongozwa na viongozi kutoka chama nilichokiamini Chadema.
Kitu kimoja tu ninachowaahidi katika waraka huu ni kwamba wote wawili mtang'oka na msije kujisumbuwa kugombea tena.
Sijawahi kuona juhudi zozote shirikishi za viongozi hawa, wangekuwa wanajitambuwa wakazi wa maeneo ya huku wako tayari kuunganishwa na kuchangia vifusi lakini wapi mbunge anawaza kula kichuri tu na Wakurya wenzake na diwani ndio maandazi kabisa.
Ole wenu Chadema msiseme Matola hakutowa onyo hapa JF, hawa viongozi nitahakikisha wanang'oka.
Cc: Tumaini Makene jiandaeni kuwatafutia vibaruwa vingine hii mizigo yenu, hawana msaada hawafai.