Barua ya shukrani kwa Jakaya Kikwete

moesy

JF-Expert Member
Oct 30, 2012
3,555
3,535
Nategeme u mzima na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku.

Lengo kubwa LA barua hii ni kutoa shukrani zetu toka katika familia yetu kwa mazuri tuliyopata kwa kipindi cha uongozi wako(2005--2015). familia yetu imekuwa na bahati kubwa sana wakati wa utawala wako,na bahati hii imetokana na maamuzi kadhaa wakati wa utawala wako

Mwaka 2005/2006 tulikuwa na wanafamilia wawili wakisoma kozi ya udaktari kwenye vyuo vya private APA tanzania kwa ahadi ya kusomeshwa na serikali.

Mwaka 2006 iliyokuwa wizara ya sayansi,teknolojia na elimu ya juu ilitoa tamko LA kusomesha(grant) wanafunzi 25 tu kwenye kila chuo cha private
,nje ya idadi hiyo serikali haitahusika.

Kwa bahati mbaya vijana wetu hawakufanikiwa kupata grant (walikuwa nje ya orodha ya 25) ,hivyo kuwalazimu kutegemea fedha za mkopo toka loan board.

Baada ya kupiga hesabu tukajikuta kiasi wanachopata toka loan board hakitoshelezi kwa kiasi kikubwa hivyo sisi kama wanafamilia tutafute fedha
nyingine kuzibia pengo LA fedha inayopelea.

Hatukuwa na jinsi sisi kama wanafamilia,kiasi cha fedha kilichoitajika kilikuwa kikubwa(zaidi ya milioni 2 kwa mmoja). Sababu umaskini mkubwa uliokuwepo ilibidi tuwashauri waludi nyumbani ili mwaka utakaofata wakaombe kozi nyingine(ualimu) kwenye vyuo vya serikali.
Mungu sio athmani wiki hiyo hiyo ofisi yako ikatoa maelekezo ya kuongeza wanafunzi wanaopata grant(Luzuku) ya serikali kwa wanafunzi wanaosoma udaktari kwenye private institute.

Vijana wetu walinufaika na iyo luzuku na kufanikiwa na kuhitimu masomo yao vizuri. Kwa sasa mmoja wao yupo nje ya nchi kwa masomo ya Master ya medicine kwa ufadhili wa serikali toka 2013na mwingine ni daktari hospitali mojawapo iliyopo dar..
Pia familia yetu imesomesha vijana wengine kwenye uuguzi=1,,katibu muhtasi=1,afisa Ugavi= 1,tunashukuru mungu wote walipata ajira serikali na wanaendesha maisha yao..

Mwaka 2014 familia yetu iliendelea kupata bahati kwenye utawala wako baada ya sisi kama wanafamilia kumshahuri last born wa familia kujiunga programm ya special diploma (UDOM),licha ya kupata division 2 ili familia yetu tupate mwalimu,lakini pia na uwezekano wa yeye kupata ajira.
Kwa sasa kijana yupo NYUMBANi baada ya kufukuzwa chuoni kama mwizi/jambazi ,tumeshasamehee kwa waliomfanyia ukatilii huu..
Kwa barua hii tunaomba upokee shukrani za familia yetu kwa mazuri yaliyopatikana kwenye hii familia wakati wa utawala wako.

Tunajua kuna mabaya mengi yaliyotokea na kuumiza au kuudhi baadhi ya watu wakati wa utawala wako,lakini kwa familia yetu tumeona tusiwe wachonyo wa shukrani kwa mazuri yaliotokea upande wetu.

Ahsante

Moes Mwinyimkuu
Mwenyekiti
 
Nategeme u mzima na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku.

Lengo kubwa LA barua hii ni kutoa shukrani zetu toka katika familia yetu kwa mazuri tuliyopata kwa kipindi cha uongozi wako(2005--2015). familia yetu imekuwa na bahati kubwa sana wakati wa utawala wako,na bahati hii imetokana na maamuzi kadhaa wakati wa utawala wako

Mwaka 2005/2006 tulikuwa na wanafamilia wawili wakisoma kozi ya udaktari kwenye vyuo vya private APA tanzania kwa ahadi ya kusomeshwa na serikali.

Mwaka 2006 iliyokuwa wizara ya sayansi,teknolojia na elimu ya juu ilitoa tamko LA kusomesha(grant) wanafunzi 25 tu kwenye kila chuo cha private
,nje ya idadi hiyo serikali haitahusika.

Kwa bahati mbaya vijana wetu hawakufanikiwa kupata grant (walikuwa nje ya orodha ya 25) ,hivyo kuwalazimu kutegemea fedha za mkopo toka loan board.

Baada ya kupiga hesabu tukajikuta kiasi wanachopata toka loan board hakitoshelezi kwa kiasi kikubwa hivyo sisi kama wanafamilia tutafute fedha
nyingine kuzibia pengo LA fedha inayopelea.

Hatukuwa na jinsi sisi kama wanafamilia,kiasi cha fedha kilichoitajika kilikuwa kikubwa(zaidi ya milioni 2 kwa mmoja). Sababu unaskini mkubwa uliokuwepo ilibidi tuwashauri waludi nyumbani ili mwaka utakaofata wakaombe kozi nyingine(ualimu) kwenye vyuo vya serikali. Mungu sio athmani wiki hiyo hiyo ofisi yako ikatoa maelekezo ya kuongeza wanafunzi wanaopata grant(Luzuku) ya serikali kwa wanafunzi wanaosoma udaktari kwenye private institute.

Vijana wetu walinufaika na iyo luzuku na kufanikiwa na kuhitimu masomo yao vizuri. Kwa sasa mmoja wao yupo nje ya nchi kwa masomo ya Master ya medicine kwa ufadhili wa serikali toka 2013na mwingine ni daktari hospitali mojawapo iliyopo dar.. Pia familia yetu imesomesha vijana wengine kwenye uuguzi=1,,katibu muhtasi=1,afisa Ugavi= 1,tunashukuru mungu wrote walipata ajira serikali na wanaendesha maisha yao..

Mwaka 2014 familia yetu iliendelea kupata bahati kwenye utawala baada ya sisi kama wanafamilia kumshahuri last born wa familia kujiunga programm ya special diploma (UDOM)licha ya kupata division 2 ili familia yetu tupate mwalimu,lakini uwezekano wa wa yeye kupata ajira. Kwa sasa kijana yupo NYUMBANi , tumeshasamehee kwa waliomfanyiwa ukatilii huu..Kwa barua hii tunaomba upokee shukrani za familia yetu kwa mazuri yaliyopatikana kwenye hii familia wakati wa utawala wako.

Tunajua kuna mabaya mengi yaliyotokea na kuumiza au kuudhi baadhi ya watu wakati wa utawala wako,lakini kwa familia yetu tumeona tusiwe wachonyo wa shukrani kwa mazuri yaliotokea upande wetu

Ahsante

Moes Mwinyimkuu
Mwenyekiti
Atabakia kuwa My best President. Asante sana Mzee wa Msoga. Kwa huyu uliyetuachia, tutaisoma namba.
 
Sisi kama familia tumefanikiwa kusomesha vijana wawili digrii na wana Kazi zao nzuri tu mmoja alisoma chuo cha umma,mwingine cha binafsi,walipewa mkopo bila kinyongo,wakati wanaondoka familia ilijaa hofu kwa kuwa walikuwa bado wadogo na wanakwenda mbali na uangalizi wa familia....lakini kwa uangalizi wako na vyombo vyako vya dola vyenye huruma walirudi bila kovu lolote mwilini,zaidi walikuwa wachangamfu wakisifia urembo wa nchi Tanzania kwa kuwa kila walikopita walikutana na mandhari nono ya kuvutia.....nawaza kama wangefukuzwa usiku....wangenyimwa mkopo....wengine wangekuwa wameamua kuolewa na kukatisha ndoto zao....lakini sasa wanachakata bongo zao na watoto wa kizungu wakipanda ndege na kushuka
 
Back
Top Bottom