kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,448
kama hayumo atapelekewa taarifa lakini nina hakika kwa kuwa viongozi wa kitanzania wanapenda udaku nae yumo!
Salaam nyingi
Mzee wangu kwa niaba ya wanyonge wenzangu nakupa pole kwa yote yanayokukuta tangu uhame chama cha kidhalimu na kuingia chama cha wanyonge,yamekukuta mengi mzee kunyang'anywa mashamba bila kufuata taratibu duh ni unyama ulioje kwa serikali dhidi ya raia wake,
Pamoja na yote mzee wangu labda nikuulize lile shamba wewe hukudhulumu maana muosha nae huoshwa sasa kama wewe ulichukua kibabe kwa kujisainia hati mwenyewe ni kosa najua wewe sheria ya ardhi unaijua ni mali ya serikali hivyo wameamua kuchukua kilicho chao
Nakumbuka yale maneno yako ukitaka mambo yako yakunyokee weka bendera ya CCM najua ulipitiwa,mzee kipindi cha utawala wako watu walilia na kusaga meno kwa kudhulumiwa mashamba na viwanja na nyinyi mlitoa matamko mazito kisa tu waliofanya uovu ni washirika wenu na nyinyi wenyewe
Nakumbuka kuna ndugu yangu alipoteza maisha Bulyanhulu ni kipindi cha uongozi wako lakini hukuchukua hatua na wale walidhulumiwa,labda nikuulize mkuu wewe ukiwa ni kiongozi mkuu wa serikali ulipataje ardhi yote ile bila ya dhuluma pole mzee wacha wachukue vyao
Mzee wangu hivi lile shirika la ndege ilikuaje,nikupe angalizo tu ukiingia pale ofisi kwetu omba kumbukumbu ya hotuba za nyuma tuliahidi tukichukua nchi cha kwanza ni kuwang'anya ardhi mafisadi wote wa CCM.
Mzee mbona umekuwa muoga wa sindano namna hii mwenzio Lowassa anagugumia kiutu uzima.
Kumbuka atakayeua kwa upanga nae atauawa kwa upanga.
Pole mzee
Nenda ukamuulize huyo huyo Sumaye atakupa jibu.Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.
Hii video siyo ya kweli mzee ume iedit. Huyu siyo kamanda wetu.Nenda ukamuulize huyo huyo Sumaye atakupa jibu.
Sumaye anasema kwenye hii video kuwa utawala wa Mkapa ulikuwa wa uwazi na ukweli.
HahahahahHii video siyo ya kweli mzee ume iedit. Huyu siyo kamanda wetu.
Ukizungumzia nyumba,huyu sumaye nae hawazi kuchomoka.Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.
Siyo mbaya kuanza na makengeza!Sasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.
Mkuu kumbe ni udaku? Basi umepotea njia hili siyo jukwaa la udaku.kama hayumo atapelekewa taarifa lakini nina hakika kwa kuwa viongozi wa kitanzania wanapenda udaku nae yumo!
mmmh..something wrongSasa kamwambie dikteta uchwara naye na mafisadi wenzie wote warudishe nyumba za Watanzania walizokwapua yeye akishirikiana na fisadi Mkapa na mafisadi wengine ndani ya Serikali ile ya kidhalimu.