Barua ya Mwaliko

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau habari zenu?

Kwa wale wanaohitaji kupata barua za mwaliko"Invitation letter" kutoka nchi mbalimbali wanazotaka kutembelea,na wameshindwa kupata passport au VISA,basi wawasiliane nami ili niwasaidie kupata hizo barua za mwaliko kwa malipo.

Kitu cha msingi asiwe mtu anayetaka kwenda kufanya uhalifu katika nchi hizo au kutaka kutokomea mara baada ya kufika,huduma hii inalenga zaidi wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya Leisure/Tourism,kusoma nk.

Karibuni wenye kuhitaji PM.
 

Njia rahisi ya kupata pasipoti ni ipi, na je napataje barua ya mwaliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…