kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,336
- 21,435
Ndugu rais
pole na kazi ya kuinyoosha nchi lakini pamoja na kazi kubwa unayofanya naona nchi ipo katika hatua za mwisho kuvunjika tena mikononi kwako
Ndugu rais tunashuhudia sarakasi nyingi sana katika utawala wako watu kupotea kuwekwa rumande kutumia vyeti feki na studio kuvamiwa na wengine kutolewa silaha
Ndugu rais ni rahisi wapinzani wako kukufanyia hujuma kwa sababu matukio yote haya wewe upo kimya.
Je kimya chako ni kibri au ndio unahusika au ndio huyo mshauri wako anakwambia ni vita na wauza dawa za kulevya
Rais wangu mpendwa tumeshuhudia ukitoa maagizo mazito la mtoto aliebakwa mwanza,mama aliounguzwa na mumewe,kuwasidia wakina diamond
lakini mkuu unashindwa kutoa agizo la kufanyika uchunguzi wa lazima na wa muda mfupi na haraka na wa wazi
Wananchi wako tukaridhika kujua rais wetu hausiki katika hili na labda lipo katika maadui wa kisiasa na wauza madawa ya kulevya,rais toa maagizo unawe mikono yako lakini kama utakaa kimya uchafu utaendelea kukakamaa mikononi mwako na kama ni kweli unahusika kwa namna moja ama nyingine basi damu itakulilia
Watangulizi wako waliua mwangosi wakamg'oa meno na kucha ulimboka
Angalizo nikipotea nyumba yetu na yenu zinatizama kwa maana familia zetu zinajuana!
aksante
Wako msema kweli daima!