Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

Jamani ee uyu jamaa kasha pata ila uku kwetu Kyela tokea Alhamis mpaka jana hakuna mzigo wa barua ulioingia posta, na kesho natarajia kupitia kituo cha kazi kuripoti kama ntakosa barua leo. Inauma sana_
 
Back
Top Bottom