Barua ya Einstein kuhusu Mungu yauzwa dollar milion 2.9

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
1,335
1,386
Mambo ambayo ndugu Kiranga anapenda kusikia.
Ndani ya barua hiyo kuna maneno haya " The word God is for me nothing more than the expression and product of human weakness, the Bible a collection of honorable, but still purely primitive, legends which are nevertheless pretty childish "
 
Wakati sisi dini zilikuja kwa majahazi au melikebu tunakesha kuomba utajili badala ya kufanya kazi!
 
Mambo ambayo ndugu Kiranga anapenda kusikia.
Ndani ya barua hiyo kuna maneno haya " The word God is for me nothing more than the expression and product of human weakness, the Bible a collection of honorable, but still purely primitive, legends which are nevertheless pretty childish "
Geneus wengi huwa hawakubaliani na dini, kwa sababu wanauwezo sawa na walionzisha dini.
 
Mambo ambayo ndugu Kiranga anapenda kusikia.
Ndani ya barua hiyo kuna maneno haya " The word God is for me nothing more than the expression and product of human weakness, the Bible a collection of honorable, but still purely primitive, legends which are nevertheless pretty childish "
Hili jamaa ni lifreemason lililokubuhu nalichukiaga sana ndio hawahawa akina britanicca wa JF
 
Back
Top Bottom