Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC.
Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi.
Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way mlivyowapata watu wenu kwa njia za panya na kuwadidimiza wanyonge.
Tangu tulipoomba kazi mwezi wa 6 tulishaanza hata kusahau kama mlitutangazia kazi hadi november.
Kama mlikusudia kuwapachika watu wenu siioni sababu ya kutuchagua na kutupotezea muda mkijishaua mnataka kutusaili.
Kiukweli mmewaweka watu wenu kwenye mwanga wote tukiwa tunaona.
Asanteni kwa ukarimu wenu na Mungu awabariki.
Wenu mliyemdhurumu,
Obyree.