Barua kwenu TPDC

Barua kwenu TPDC

Obyree

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
17
Reaction score
5
Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC.

Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi.

Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way mlivyowapata watu wenu kwa njia za panya na kuwadidimiza wanyonge.

Tangu tulipoomba kazi mwezi wa 6 tulishaanza hata kusahau kama mlitutangazia kazi hadi november.

Kama mlikusudia kuwapachika watu wenu siioni sababu ya kutuchagua na kutupotezea muda mkijishaua mnataka kutusaili.

Kiukweli mmewaweka watu wenu kwenye mwanga wote tukiwa tunaona.

Asanteni kwa ukarimu wenu na Mungu awabariki.

Wenu mliyemdhurumu,

Obyree.
 
Habarini wana jamvi, poleni kwa mliokumbwa na unyama wa TPDC.
Kwenu wakuu wa kazi TPDC ni dhahiri mlikusudia mliyoyafanya kwa wanyonge wananchi. Nikiwa kama mmoja wao nimehuzunishwa na the way mlivyowapata watu wenu kwa njia za panya na kuwadidimiza wanyonge. Tangu tulipoomba kazi mwezi wa 6 tulishaanza hata kusahau kama mlitutangazia kazi hadi november. Kama mlikusudia kuwapachika watu wenu siioni sababu ya kutuchagua na kutupotezea muda mkijishaua mnataka kutusaili. Kiukweli mmewaweka watu wenu kwenye mwanga wote tukiwa tunaona. Asanteni kwa ukarimu wenu na Mungu awabariki.

Wenu mliyemdhurumu,
Obyree.

Usimwachie Mungu nadhani milango ya CMA-(Mahakama ya kazi) iko wazi fanya jitihada udai kutendewa haki ili siku nyingine na wengine wasiumizwa!
 
Tanzania au :canada: au :usa: mzee? Atamaliza pesa na muda bure then mwisho wa siku atashindwa kesi. Hapa ni kukausha tu hadi 2015 October.
 
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA
 
Pole sana. Mungu atamlipia!
 
Usimwachie Mungu nadhani milango ya CMA-(Mahakama ya kazi) iko wazi fanya jitihada udai kutendewa haki ili siku nyingine na wengine wasiumizwa!

Tanzania ni nchi ya kipekee ambayo mnyonge hawezi kumshtaki tajiri mahakamani
 
poleni wote mliokutwa na usanii wa hawa majambazi
 
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA
Dah! kweli stori yako imenihuzunisha sana,pole ndugu yangu lakini mwambie asikate tamaa hizo ni chanagamoto za maisha ipo siku atasahau kama alipita katika hali ngumu kiasi hicho mungu atamsaidia,kuna watu wakikaa kwenye nafasi fulani huwa wanafanya makusudi ili uwepo wao uonekane tu hawana lingine.
 
Hiki kitendo kilichofanywa na TPDC kina mahusiano gani na CCM?! Kuna watu wapuuzi kweli yani. Kila kitu utawasikia "tusubiri 2015". Hivi ni ugoigoi ama nini?
 
Pole sana.....kiukweli ajira kwa sasa ni ngumu sn ila cha muhimu ni kutokata tamaa na kuzidi kumwomba Mungu kwani km ipo,ipo tu hakuna awezae kuizuia.
 
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA

Nchi hii ni hatari sana, kama hakuna mtu unayemfahamu mahali then lazima uwe una akili za juu sana ama uwe unamjua sana Mungu la sivo huwezi kuajiriwa sehemu yoyote yenye maziwa na asali.Nakumbuka bandarini kuna kipindi walitangaza kazi IT watoto wa wakubwa wakapewa zile kazi wakaenda kufanya training Ubeligiji na walivorudi ndiyo kazi zikatangazwa wakati tayari watu wapo kazini mpaka na training walishapiga.Omba sana Mungu akupe bahati maana kwa akili za kibinaamu ni kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Mkuu inatia uchungu sana,yaani mtu wamemuita then amefika na gazeti kbsa na jina lipo,katoka Sengerema kasafili usiku mzima,kufika Morogoro basi likazuiwa maana usiku ulikuwa umefika,ikabidi jamaa adandie roli ili afike Dar alfajiri...kafika Mbezi saa kumi na moja alfajiri,foleni imefunga...nikamwambia akodi pikipiki aje hadi External nyumbani kwangu ili nimpeleke mana alikuwa hapajui Msimbazi Center...hata kuoga wala kubadili nguo hakuna mana alifika saa moja kasoro!!!!Anafika pale eti wanamwambia kama jina lipo gazetini na mtandaoni halipo basi hawezi kupiga interview...jamaa akatoa gazeti jina lipo,msichana mmoja akaja na simu akamwambia jina lako lipo gazetini lkn kwenye website halipo...so hauruhusiwi kuingia ndani rudi tu kwenu.
Kwa kweli ni jamaa yangu,imeniuma sana,ni.bora hata angefanya ijulikane kashindwa kuliko kumkejeli na kumweka kando amekata sana tamaa!!!Inaumiza sana,ila ngoja ipo tu siku....hii nchi kuna mahali tunapelekana,itafika tu siku!!!IMENIUMA SANA

Hii imeniuma sana na imenikumbusha miaka miwili ilopita wakati nilipo fanya usahili wa maandishi taasisi moja ya elimu ya juu chujio likapita hadi tukabaki watu wanne (4) sawasawa na idadi ya watu iliyokuwa ikihitajika kwa mujibu wa tangazo. Tukaishia kuambiwa tutaitwa na ahadi ikawa ndo ajira. Achilia mbali kusafiri zaidi ya mara tatu. Ndugu zangu hii nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana. Leo ukiomba ajira serikalini kwenye idara zinazolipa vizuri kama TANAPA,TPDC,TPA, PPRA na mifuko ya kijamii danadana ni nyingi hata kama mnakumbuka nafasi zilizotangazwa na PPRA kupitia secretari ya ajira ilifanyika na kuanza kupigwa danadana mara siku ya oral interview mtatangaziwa mara subirini. Yaani inaumiza sana. Ila naamini tunahitaji kufanya jambo ili kuwa na mustakabali mwema wa taifa.
 
Hiki kitendo kilichofanywa na TPDC kina mahusiano gani na CCM?! Kuna watu wapuuzi kweli yani. Kila kitu utawasikia "tusubiri 2015". Hivi ni ugoigoi ama nini?

Kina uhusiano kwani CCM ndo inayoongoza serikali,na TPDC ni chombo cha serikali.
But all in all CCM mwisho wao ni October 2015.
 
Nani ka kwambia tanapa wanalipa vizuri usisikie kaka labda uwe ngazi ya management but tofauti na hapo kazi za nights( per dm) lazima uwe uanajuana na supervisor otherwise utachina . Usishangae kuona muhasibu anaenda kupima mipaka ya hifadhi ili apate faraga na ww mhusika wa hiyo kazi au insome way una relate ukaachwa unalinda geti .
 
Daaah! Unatisha sana haya mashirika yetu ni shida.
 
Back
Top Bottom