Barua kwenda kwa mke wangu kipenzi

BIGURUBE

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
6,743
4,227
Nakupenda mke wangu.
f1e91d09-ffc8-42c8-9a51-d1bd6a27809d.jpg
 
BIGURUBE,

Kijana una moyo wa chuma, inaonekana unampenda sana huyo mwanamke, ila angalia asije akakuliza maana kama anachati na mwanaume mwingine usalama hapo ni kidogo.
 
Apo huyo mwanamke anaweza akatamani ardhi ipasuke, ukiona mwanaume anakua kama ivyo ujue amepitia mengi sana so lolote halimuumizi, so apo mwanamke lazima atakua muoga kwa huo ujumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom