Barua kwa UN kuhusu kupotea kwa Ben Saanane

Mkuu ungeorodhesha hayo maendeleo au jitihada za maendeleo. Mimi naona karibu atafuzu kutoka kuwa dikteta uchwara na kuwa dikteta kamili.
Mkuu maneno makali hayo..... Angalieni jamani mdomo uliponza kichwa msishindane na serikali..... Msimdhihaki raisi chonde chonde mkuu tunapenda kuwaona humu jf mkichangia mada kwa weredi. Asante mkuu
 
Mkuu wakikutaka watakupata tu. Usiwe mwoga kwa kusema ukweli
 
Mkuu we acha tu huwezi badilisha nyota ikawa jua, kwani hata yesu alipingwa na mayahudi japo alikuja kwa nia njema ya kuwakomboa wenye dhambi alionyosha kuwapenda na kuwajali watu wake ila walimdhihaki na kumsema vibaya kila kona kwa hiyo tusishangae kwa raisi wetu pendwa kusemwa hivi tambu mwnaadamu kazaliwa anaongea hivyo ataendelea kuongea mpaka umauti utakapomfik ndio atanyamaza.
Acha kutoa mfano wa YESU kwenye siasa za Tz
 
A PHD whether it is legitimate or not you have to ask the university that granted it,not the press,the individual,the UN or whoever you meet in the toilet .

You are wasting UN precious time by your childish stupid writtings.

CHADEMA WHEN WILL YOU GROW up politically? .If you don`t know where to get answers for such small things how can somebody trust you to run a country?
 
YEHODAYA lugha imekuumbua...hii lugha inapatikana Lumumba tu! Wewe na mleta mada ni wale wale kama si yule yule.
 
Niwaombe samahani wana jamii forums kwa kuandika kwa lugha ya mkoloni wa kiingereza.Huwa sipendi kabisa nimetumia google kutafsiri niliandika kiswahili nikaenda google translator.Hicho kiingereza sio changu mimi kingereza changu cha hapa na pale na huwa sipendi kukiongea sababu ni lugha ya mkoloni na mimi ni mtu huru
 
Hello Secretary General UN,
I am a Tanzanian writing this letter to you asking to intervene Human Right Violation.

Recently, there is a missing Activist namely Ben Rabiu Saa Nane who is missing for such a two weeks now without any information from the government.

We have raised up our voices to ask the government to tell us about his missing with no response.

Ben was questioning to the PhD of the President of Tanzania Hon. Magufuli as unqualified Doctorate.

After this saga, we are unaware to his presence, We people of Tanzania, we now live in a great fear to our government that doesn't want be challenged.

UN Secretary General, we would like to see you intervening this issue.

UN Secretary General, we understand that you have power and mandate through your Organs to call the government and ask about our developed fear, we see our lives being in fear of worrying about anything we can raise to our Government.

There are Seven dead bodies found dead on Ruvu River in Tanzania and the Minister for Defence was quickly replied and said that those bodies were illegal immigrants.

The Tanzanians raised questions about his Statement regarding the action for the quick burial of those bodies without postmortem.

We are no longer free to our country.

UN Secretary General, we appreciate you and your body Organs, we are sure you will handle this situation

Best of lucky, A TANZANIAN representing his MEN.
View attachment 445829
Nenda kwa Ras Simba upige msasa yai kwanza, alafu Andika tena.... Kwa ngeli ukiyoandika huko UN wata delete tu hiyo
 
Chadema ni chama changu ila mkienda kwa huu mtindo hamtoboi.badilisheni mbinu za kupambana unless mseme mmeamuwa kugive up
Wewe ni mwanachama mwenye kadi namba ngapi? Una hakika, kama mwanachama, hili la Ben ni sehemu ya mkakati wa Chadema kisiasa? Kwa vipi?
 
A PHD whether it is legitimate or not you have to ask the university that granted it,not the press,the individual,the UN or whoever you meet in the toilet .

You are wasting UN precious time by your childish stupid writtings.

CHADEMA WHEN WILL YOU GROW up politically? .If you don`t know where to get answers for such small things how can somebody trust you to run a country?
Kingereza umejitahidi hoja huna
 
Aliyeandika ni Chadema au ni Mwananchi tu kama wewe, mbona kila kitu mawasingizia Chadema, acheni hizo
 
Hello Secretary General UN,
I am a Tanzanian writing this letter to you asking to intervene Human Right Violation.

Recently, there is a missing Activist namely Ben Rabiu Saa Nane who is missing for such a two weeks now without any information from the government.

We have raised up our voices to ask the government to tell us about his missing with no response.

Ben was questioning to the PhD of the President of Tanzania Hon. Magufuli as unqualified Doctorate.

After this saga, we are unaware to his presence, We people of Tanzania, we now live in a great fear to our government that doesn't want be challenged.

UN Secretary General, we would like to see you intervening this issue.

UN Secretary General, we understand that you have power and mandate through your Organs to call the government and ask about our developed fear, we see our lives being in fear of worrying about anything we can raise to our Government.

There are Seven dead bodies found dead on Ruvu River in Tanzania and the Minister for Defence was quickly replied and said that those bodies were illegal immigrants.

The Tanzanians raised questions about his Statement regarding the action for the quick burial of those bodies without postmortem.

We are no longer free to our country.

UN Secretary General, we appreciate you and your body Organs, we are sure you will handle this situation

Best of lucky, A TANZANIAN representing his MEN.
View attachment 445829
kingereza gani bora tu ungeandika kiswahili. watu mnajidai tu wala hamjui. huna tofauti na wale wazee wazanzibari wanaomwandikiaga un scretary general kumuuliza hati ya muungano kati ya tanganyika na zanzibar.
 
Kwa mkutadha wa sasa hii ni sawa na kupigia mbuzi guitaa au kwa maneneo mengine kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji. Kama mikutano ya chama inafanyika white house. Kwa kutumia rasilimali za walipa kodi. What further testimony do we need? Ukipiga kelele unapotea..ngoja nile chakula cha jioni hapa kwa mama musa
Bora ule tu kwanza mangi maana wenzako sasa wamechanganyikiwa na huu muziki wa jpm.
 
correction; The Ministry of Home Affairs and not Ministry of Defence, I think it should look like this dear writer of this post! God may bless Tanzania and her people!
 
Barua inafurahisha kweli
Pale waziri mwigulu nchemba anapotajwa Kama waziri WA ulinzi badala Ya waziri WA mambo ya ndani.
 
kumtukana mkuu wa nchi kila kukicha ndiyo activist, alitepotea siyo activist ila mchumia tumbo aliyekuwa anafanya yake kwa maslahi ya waliomtuma kutukana
Hawa BAVICHA wamevurugwa. Wamemficha Ben ili wasingizie ujinga wake aliokuwa akiuandika kuwa ndiyo chanzo cha yeye kupotea. Watu wa hovyo kweli kweli
 
A PHD whether it is legitimate or not you have to ask the university that granted it,not the press,the individual,the UN or whoever you meet in the toilet .

You are wasting UN precious time by your childish stupid writtings.

CHADEMA WHEN WILL YOU GROW up politically? .If you don`t know where to get answers for such small things how can somebody trust you to run a country?
Precisely
 
Back
Top Bottom