Barua kwa Mhe. Rais Magufuli

SULWE

Member
Apr 6, 2017
90
33
Ndugu rais, naomba nianze kwa kutoa Shukrani za dhati kwa namna unavyo pambana kila siku kuhakikisha Taifa letu linakuwa miongoni mwa mataifa bora Kiuchumi barani Afrika na dunia nzima, ni jambo jema linalostahili kuungwa mkono na kila raia mtanzania mwenyewe nia njema na nchi hii, naomba utambue yakuwa Watanzania wengi wanakuunga mkono katika mambo haya mazuri.
Lakini naomba nikukumbushe kuwa kuna mambo yanayo endelea ndani ya nchi yanayo chafua dhamira nzuri uliyonayo kwa nchi hii.
Mhe. Rais kwa dhamira nzuri uliamua kupambana na waporaji wa mali za nchi hii ni vyema lakini mpaka sasa unatambua kiasai gani unawaingizia Accacia toka shughuli zao zisimame ? Na kwa gharama ya nani atakaye lipa ? Hizi siyo kodi za mama ntilie na mama maandazi, mbogamboga, mkulima, machinga na walalahoi wenzangu ? Nilazima utambue hawa watu hawakuvamia nchi bali mliwakaribisha mkiwa ndo kabinet ya Mhe. Mzee j. Kikwete rais wangu wa Zamani, lazima Serikali yako ikubali ilipotea tokea mwanzo mkuu... Nasema hivyo kwa sababu serikali hii ni ile ile kama wimbo wachama unavyosema "Ccm ni ile ile ooooh ni ile ile ". Hivyo mlikosea toka Zamani natunaibiwa kisheria kiasi kwamba mwizi bado anapata haki zaidi yetu.... Nashauri panga sheria zetu Vizuri mikataba yote yawe nafaida kwa nchi yetu natusimamie kiuzalendo kama unavyo fanya mkuu .
Pia napenda kukushauri rais wangu ebu tujaribu kutafakari juu ya mashambulizi yanayo kithiri kwa sasa katika Taasisi mbalimbali zinazo milikiwa na Watanzania, lakini pia wengi wetu wanajiuliza kwanini kila taasisi linalilo tofautiana na serikali yako kimawazo lazima ivamiwe ? Au maghaidi wapo Tanzania yetu ? Mambo haya yanaichora Tanzania kikatili katika uso wa dunia...Serikali yetu pendwa inapaswa kudhibiti haya mambo. Nchi yetu inahitaji heshima, heshima ya nchi ni heshima kwa raia wake.
Mungu akubariki Mhe. rais.
Mungu bariki Tanzania.
Asante :
 
Sijui kama hii barua itamfikia au itachanwa kwa wasaidizi wake.
 
Mimi Jana nimeleta thread nikimshauri namna ya kubadili hii mikataba exploitative. Aandae mikataba mingine yenye manufaa pande zote mbili. Kisha hiyo mikataba mipya awape Ben na JK awaambie hii ndo mikataba ninayotaka. Hao wawili watajua namna ya kuongea na hao wezi wenzao na inshallah watakubaliana tu.
 
unataka kupimwa mkojo waangalie chembe ya uchochezi?? kwenye LED;);):(:(
 
Back
Top Bottom