Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Wasalamu
Kwanza napenda kukupa hongera kwa kutanua wigo wa ajira Tanzania kupitia uwekezajj wako.
Ila, kuna hili swala la Azam Pay Tv, Namna ya kununua au kulipia kifurushi Mara baada ya kuisha mda wake kupitia mitandao ya simu au njia yinginezo.
Hapa nataka kuzungumzia kupitia mitandao ya simu, kwa kweli mnaboa sijui kwa wengine, ila kwangu naona ni usumbufu, kununua kifurushi cha Azam Play kisha kupiga huduma kwa wateja kuniunganisha, kwanini mteja asiunge moja kwa moja kuondoa huu usumbufu, na bado namba yenu c free call, mnachaji? Hamjui kuwa huu ni wizi wa nje kabsa? Na bado MTU akipiga simu kuunganishwa, badala aunganishwa na kifurushi cha Azam play, anaungwa Azam pure au plus, eb niambien tofauti iliyopo Kati ya Azam play na plus, nimeunga toka Jana, napiga simu naambiwa subiri baada ya dakika kumi, nimesubiri, lakini Chanel sizion, zipo zile zile za zamani.
Kwa ushauri wangu, wekeni chaguzi Kama zilivyokatika mitandao ya simu, ambavyo kuna options za MTU kuunga kifurushi ima cha au zaidi kulingana na mahitaji yake.
Mfano
A) Azam pay TV.
1. Azam pure
2.Azam plus
3.Azam play.
Kisha MTU achague yeye mwenyewe kuliko kupiga huduma ya wateja na bado mtu anachajiwa tena simu yenyewe kupokelewa ni baada ya dk 10 , sasa hii hela mnatupa ninyi?? Kama sio wizi nini? Sawa hata Kama mnachaji basi simu ipokelewe kwa mda.
Mpaka sasa, sijaona hizo chaneli za Azam play, zaidi ya zile za zamani.
Namshukuru mmenipa somo kubwa, kuhusu Azam play. Soon nitaunga DST TV Kama zamani, Nina hasira Sana na hao huduma ya wateja, natamani ningewafata hapo mlipo niwaeleze huu usumbufu na wizi wenu wa kutunyima fursa ya kupiga simu kwani mnatuchaji na sisi hatuna hela, wewe mkuu wa huduma ya wateja, badilika, angalia huduma zenu bana,
Moderator naomba huu uzi husiutoe, nataka uwafikie wahusika, sina namna ya kuwafikishia zaidi ya hapa.