Barua kutoka KENYA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua kutoka KENYA

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Bujibuji, Jul 23, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,403
  Trophy Points: 280
  Baridi inarudi, Lakini sasa nimepata dawa. Unakura ugali asubuhi na chai harafu unafaa sile sokks sa Raymond kama sile sinauzwa na Lisa wa Njooro hapo Mutindwo. Bye the way booro ya Njooro haijapona kutoka ifujike wakati warikuwa pare kwa mkeka. Sijui hata-do?

  Aneway, leo mimi sasa nimesoma mambo ya Muchatha kukojolea musichana hapa kwao gicagi nikacheka sana. Na kweri Muchatah arikuwa kihii kibaya sana kama kingine huko Mathioya kwetu siku moja kirieda kikaiba sidiria ya mwalimu harafau kikakuja nayo shule kama kimefaa juu ya unifoam. Kilitandikwo kikajikojolea.

  Aneway, kwa vile Muchatha amenifurahisa, nataka nimutumie hii carde Njooro alitumia Lisa. Si ni poa Muchatha?

  Unawesa kuja hapo Tents Buru Buru leo jioni uninunulie Pilsner mbiri tuu? Nitakuwa nimefaa nguo ya blue karibu na ile kaunta kumbwa pare ukieda na choo.

  Bye bye.
   
 2. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  hahaha... but Kenyans dont talk like that, atleast majority of them.. funny nevertheless
   
Loading...