Barua hii ni ya 5

Barua hii ni ya 5

Ngoja nimpigie simu jamaa yangu wa pale BRITISH COUNCIL nimuulizie ADA ya kusoma GENERAL ENGLISH ni kiasi gan, den nitarudi kukujulisha.

Haahaahaaaaa! WA KISHUA bana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwenzio ningekuwa nishakuwa bilionea hadi BAKHRESA angekuwa cha mtoto, huwa wananitumia wengi sana E-mail za hivyo, Wengine eti waume zao walikufa Iraq na wameacha mapesa mengi wanataka wanipe nika donate kwa yatima, Wengine ni mameneja wa mabenki huko china wanataka wanihamishie mapesa ya injinia mmoja alifia dubai na hawajampata ndugu yake wa karibu, Mwingne ni mmama ana kansa ana miezi minne ya kuishi na ana mipesa mingi kwe lijiakaunti lake hana wa kumwachia kwa hiyo amepata email address yangu anataka anipe mimi mihela yote hiyo.
Yaani ningekuwaga bonge la litajiri basi tu huwa nawapotezeaga. AKILI KUMKICHWA
 
si haba lakini ngoja nikutafutie wifi yao Natalia akusaidie

haaaaaaaaa aaahaaaaaaa we unataka kumuharibia mwenizo nini????remember Natalia anatuchukia sisi mablack zaidi ya k.i.n.y.e.s.i japo anakitoa!!!!!so hapo lazima amshauri huyo mudhungu apotelee mbali asimkaribie mblack!!!
 
Last edited by a moderator:
inawezekana unatapeliwa uwe makini na mawasiliano ya internet,
 
kwa experience yangu na hata watu nyie bado hamjawa wapenzi barua inaonyesha bado ni marafiki wa kawada.kama kweli unampenda kimapenzi mwambie ukweli.la sivyo utakuwa unajidanganya!
Ndugu wadau wapendwa, katika tafuta yangu nimemkwa huyu demu wa kidhungu lakini sasa kimekua kizunguzungu kwangu kwakua english yenyewe ni ndogo na hii ni barua ya 5 izo za nyuma nilijitahidi ivoivo kujibu, sijui ananichokesha tuu au ana willing? Ameshanitumia mpk picha zake nyingi tuu, najua humu jf mun
 
Teh...Umeshawahi kuonana nae?
Ni wanaijeria fulani tena wanaume, wapo Internet cafe wanatafuta mawindo. Picha zote za wazungu watakuletea ukitaka. Hatua inayofuata itahusu zaidi bank account na vitu vifananavyo na hivyo. Nakumbuka niliona kwenye Oprah show moja kitambo watu kibao wakishuhudia yaliyowakuta.
 
subiri huyo sijui 'mzungu' akutake utume account number yako na mambo mengine...mwisho wa siku ukute account yako iko nyeupeee kama karatasi ndo utatia akili! unachezea mitandao nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom