mkuu nunua just ilikua ni onyo kwa jamaa sababu anataka abadilishane na mtu anaweza toa original akapewa clone.
nimesema bora kununua hizo sababu mtu anatoa hela nyingi then anauziwa clone so ni bora utoe hela nyingi ununue kitu ambacho mchina hana time ya kukiclone.
ila ukiwa ushaamua ununue clone hauna risk ya kutapeliwa