E ELX JF-Expert Member Jan 3, 2010 328 379 Jul 31, 2017 #4 Kila LA kheri kwa majadiliano; chamhimu pande zote zinufaike na shughuli zisisimame.
shandaraiz JF-Expert Member Jun 26, 2017 218 447 Jul 31, 2017 #5 ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God
Wilson Joseph JF-Expert Member Mar 10, 2012 302 248 Jul 31, 2017 #6 Tanzania nchi yangu kila la kher Sent using Jamii Forums mobile app
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,503 25,466 Jul 31, 2017 #7 shandaraiz said: ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God Click to expand... Hapo kwenye red bora wewe umelitambua hilo,kuna wenzako huwaona hawa wazungu ni malaika pamoja na yote hayo.
shandaraiz said: ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God Click to expand... Hapo kwenye red bora wewe umelitambua hilo,kuna wenzako huwaona hawa wazungu ni malaika pamoja na yote hayo.
Nolasc Member May 10, 2012 81 45 Jul 31, 2017 #8 Tunawatakia makubaliano mema yanayozingatia maslahi ya watanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawatakia makubaliano mema yanayozingatia maslahi ya watanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
M Mtanzania Mzawa JF-Expert Member Jul 2, 2017 401 405 Sep 17, 2017 #9 God bless ma Country Tanzania. ..
jogi JF-Expert Member Sep 25, 2010 25,558 25,323 Sep 17, 2017 #10 king L said: Click to expand... Nani kaanza mazungumzo na mwenzie?