The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,784 Reaction score 123,810 Jul 31, 2017 #2 Be the first to reply.
GTA JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 878 Reaction score 653 Jul 31, 2017 #3 Ngoja tusubiri,
E ELX JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 328 Reaction score 379 Jul 31, 2017 #4 Kila LA kheri kwa majadiliano; chamhimu pande zote zinufaike na shughuli zisisimame.
shandaraiz JF-Expert Member Joined Jun 26, 2017 Posts 218 Reaction score 447 Jul 31, 2017 #5 ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God
Wilson Joseph JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 312 Reaction score 280 Jul 31, 2017 #6 Tanzania nchi yangu kila la kher Sent using Jamii Forums mobile app
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,784 Reaction score 123,810 Jul 31, 2017 #7 shandaraiz said: ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God Click to expand... Hapo kwenye red bora wewe umelitambua hilo,kuna wenzako huwaona hawa wazungu ni malaika pamoja na yote hayo.
shandaraiz said: ngoja tusubiri tuone, maana hawa wazungu sio watu wazuri sent from servant of God Click to expand... Hapo kwenye red bora wewe umelitambua hilo,kuna wenzako huwaona hawa wazungu ni malaika pamoja na yote hayo.
Nolasc Member Joined May 10, 2012 Posts 81 Reaction score 45 Jul 31, 2017 #8 Tunawatakia makubaliano mema yanayozingatia maslahi ya watanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
Tunawatakia makubaliano mema yanayozingatia maslahi ya watanzania. Sent using Jamii Forums mobile app
M Mtanzania Mzawa JF-Expert Member Joined Jul 2, 2017 Posts 401 Reaction score 405 Sep 17, 2017 #9 God bless ma Country Tanzania. ..
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,371 Sep 17, 2017 #10 king L said: Click to expand... Nani kaanza mazungumzo na mwenzie?