Kifai JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 816 Reaction score 173 Apr 5, 2013 #1 Mgodi wa dhahabu wa buzwagi wa mkoani shynga umetangaza kupunguza wafanyakazi zaidi ya 200, chanzo cha punguzo hilo ni pamoja na uzalishaji wa dhahabu kuwa na cost kubwa, ova
Mgodi wa dhahabu wa buzwagi wa mkoani shynga umetangaza kupunguza wafanyakazi zaidi ya 200, chanzo cha punguzo hilo ni pamoja na uzalishaji wa dhahabu kuwa na cost kubwa, ova
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,513 Reaction score 1,114 Apr 6, 2013 #2 eheee kibarua hikooo kinapaa na ungo wa sangoma
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,984 Apr 6, 2013 #3 Waache uoga. Wafanye negotiation nzuri ya redundance package wakaanze uchimbaji mdogo.
V vangilichuma Member Joined Jan 1, 2012 Posts 39 Reaction score 2 Apr 6, 2013 #4 hao mataperi chezea barrick weye::A S angel:
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,766 Apr 8, 2013 #5 neema kwa waganga wa kienyeji