..... "Barnaba.. He is a bad ass"... Kasema DIVA wa clouuds...

WaliNazi

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
851
96
....huenda mie cjui ki inglish vizuri...lakini najiuliza huyu DIVA kwa hyo sentence alikua anamsifia Barnaba au ana mtusi....kaongea like 45 mins past...
Au ndo ulimbukeni wa kuchukua expression ambazo hatujui zna maana gani na twazirusha live redion,.....
Divaaa....unaiga hadi mashudu...thats dirty.. Be real.
 
Hahaha inawezekana kayasikia kwenye movie hayo maneno akayasema tu...lugha za kuiga ngumu wajameni
 
Aisee huyu msichana ni mshamba sana..anacopy na kupaste mavitu kutoka nje bila kuangalia culture diversity yan anatukana hadharani as if she is mad...she is serious ill trust me.
 
Anajifanyaga Rihanna wa bongo wakati hana hata hadhi hyo..huwa anaviclip vyake vya kijinga jinga full matusi, huwa najiuliza hivi ni mzima?! Hana ndugu?! Au familia au friends wamfunde?!!! Na mambo anayofanyaga studio mara nyingine ni nje kabisa ya maadili bila kujua 90% ya wafuatiliaji wa kipindi chake ni wanafunzi wa sekondari. Endelea kuwajaza wadogo zetu pumba zako...
 
....madai yake... anasikilizwa sana na wanafunzi wa vyuo vikuu...
 
huyu demu mshamba sana na huwa anapenda kuongea mambo ya kijinga muda mwingi,mambo ambayo hayaendan na maadili, kuna siku nilikuwa na wazazi wangu kwenye gari usiku tunarudi home mida ya saa nne na nusu usiku, nimefungulia clauds fm, mzee akaniambia hakuna steshen nyingine ya redio? Manake hadi aibu anaongea matusi halafu yeye anaona ujanja, kumbe ushamba tu.
 
Anajionaga mrembo,kumbe sifuri tu! Not on her boat completely!!
 
Hilo neno (He is a bad ass... = ni sifa tu (could be +ve or -ve), nadhani alikuwa anamanisha jamaa ni mkali saana katika Musik). Halina tatizo, inategemea na kitu gani ambacho alikuwa anakizungumza na kwa walengwa/wasikilizaji wa kipindi hicho. off-course hilo ni rude words huwezi kulitumia kwenye watoto na watu wenye heshima zetu.

Mimi nadhani kwa kipindi chake, na nyie wasikilizaji wake hayo ndo maneno yenu mngependa/mnayopenda kuyasikia! Huyo dada anajua audience yake inataka nini na ndo anachowapatia. akiwa too casual, mtasema kipindi chake kina-bore. Achaeni unafiki wenu. Mbona watu wengi wanaitana maneno ya ajabu tu, in a positive way?!! utasikia 'KICHAA wangu nitoe na buku 5.. ..', 'MCHIZI yule ni noma kwa ....' etc.

Maneno kama hayo huwezi kuyasikia kwenye kipndi cha Je tutafika cha Makwaiya wa Kuhenga and the likes. Mi nadhani muanzisha thread ulitaka watu wamjadili Diva kama Diva, lakini sio kwa kutumia maneno hayo.
 
tatizo hawa watangazaji wetu wa bongo ni washamba sijawahi ona,wanapenda kufeki sana maisha wanayoishi,ukitaka kujua kua nao karibu utashangaa.
 
....madai yake... anasikilizwa sana na wanafunzi wa vyuo vikuu...
aiseeeeeeeeeee...............kama wanafunzi wa vyuo vikuu bongo wanakaa na kusikiliza upumbavu wa huyu mwanadada basi kwisha kazi yao...ndio maana wakina malecela,sita na wasira wanaona vijana bado sana
 
Back
Top Bottom