Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Nenda huko ila kunaweza kufaMie ndio napenda hasa baridi za hivyo
Ila ndio hivyo tena
mie sifi kwa baridi Labda joto 🔥Nenda huko ila kunaweza kufa
Kama mimi ningekua ndani nakula mzigo mara 3 kwa siku yaani ndo ingekuwa dozi ya baridiWatu Tisa wamekufa nchini Marekani kutokana na baridi kali ambayo imelikumba eneo la nchi za Amerika ya Kaskazini, baridi ambayo inasemekana ni mbaya kutokea katika eneo hilo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.
Marekani na Canada zimekuwa zikishuhudia kiwango kikubwa cha theluji kikianguka, na hivyo kutatiza shughuli mbalimbali zikiwemo zile za usafiri.
Kiwango cha joto katika nchi hizo hivi sasa kimefikia nyuzi joto hasi 30 na kuna maeneo mengine kiwango hicho cha joto ni nyuzi joto hasi 40.
Safari nyingi za ndege zimefutwa katika nchi hizo za Marekani na Canada na kuwaacha wasafiri njia panda.
TBC
mie sifi kwa baridi Labda joto 🔥
Hahahahahaaa!Unamchokoza?Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Hiyo kwa Urusi ni kama Joto make kule Siberia huwa inafikia -70-46c si mchezo,maaninaaa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndo upuuzi gani huu!!!????Wategemee mengi zaidi kwa madhambi yao.Sudani ya kusini wanakufa kwa Vita backed by this whites albinos,wayahudi weusi wanauawa bila kufikiria mara ya pili.wameua Africans Idealistics,,,,,wengi miakaya 60,bwana Martin alikufa kamuacha mjane kijana mbichi kabisa,
Alsha abab. SomaliaEthiopia nk.hawana vita lakini cha moto wana kiona; na mengi mengine yaja, wanatakiwa watubu toba ya haki,ila hakuna wa kuwastua sijui itakuwaje, na kwa taarifa tu idadi ya weusi inakuja kwa kasi kubwa,kuwapiku weupe baada ya karne kadhaa usa watakuwa weusi tu. na nasema wacha dhambi iwatafune na mwenyezi Mungu nisamehe.wanastahili iwatafune.hawawezi kutenda dhambi mbaya ivo wakabaki salama.mshahara waa dhambi ni......
...weusi hata kama wamo hao jua lao na mvua yao kwa hiyo ni chelea tu. wana suffer wote haichagui hiyo,sasa hao polisi weupe waka wapige risasi kwenye baridi tuone.
Fungua akili hiyo yenye ukungu hapa nimechapa sija Mwandiko.
Hot water freezes faster than cold water(mpemba effect) hata usishangae ndo iko ivo mwana fizikia mbongo anaitwa Mpemba ndo aligundua ilo wazungu wanamjua.Unaambiwa baridi ni kali kiasi kwamba ukichota maji yanayochemka kutoka jikoni ukimwaga juu hewani kabla hayajarudi ardhini yameshaganda
Wachache watakuelewaWategemee mengi zaidi kwa madhambi yao.Sudani ya kusini wanakufa kwa Vita backed by this whites albinos,wayahudi weusi wanauawa bila kufikiria mara ya pili.wameua Africans Idealistics,,,,,wengi miakaya 60,bwana Martin alikufa kamuacha mjane kijana mbichi kabisa,
Alsha abab. SomaliaEthiopia nk.hawana vita lakini cha moto wana kiona; na mengi mengine yaja, wanatakiwa watubu toba ya haki,ila hakuna wa kuwastua sijui itakuwaje, na kwa taarifa tu idadi ya weusi inakuja kwa kasi kubwa,kuwapiku weupe baada ya karne kadhaa usa watakuwa weusi tu. na nasema wacha dhambi iwatafune na mwenyezi Mungu nisamehe.wanastahili iwatafune.hawawezi kutenda dhambi mbaya ivo wakabaki salama.mshahara waa dhambi ni......
...weusi hata kama wamo hao jua lao na mvua yao kwa hiyo ni chelea tu. wana suffer wote haichagui hiyo,sasa hao polisi weupe waka wapige risasi kwenye baridi tuone.
Kweli?Hot water freezes faster than cold water(mpemba effect) hata usishangae ndo iko ivo mwana fizikia mbongo anaitwa Mpemba ndo aligundua ilo wazungu wanamjua.
Kweli ndio wewe nenda u tube andika 'mpemba effect' utaona wanaelezeaKweli?