Habari za Jumapili wadau. Niende straight to the point. Mbeya baridi ni kali kweli kweli. Nipo hapa maeneo ya juu kidogo hivyo ninaipata baridi kinyama. No wonder Mbeya na Njombe wana watu wengi walioathirika.
Kwahiyo unataka kutuambia sehemu zenye baridi suluhisho la baridi niku***? Sweta huko hawauzi eeeh? Au nguo nzito za kuzuia baridi hakuna? Ni kuendekeza tu ujinga baridi na wingi wa waathirika sidhani kama vinaingiliana.