Nilipokea akhabari za masikitiko na khuzuni kubwa za Mzee wangu Mohamed Ahmed Salim maarufu kama BABU EDDY(ndugu yake Salim Ahmed Salim) kilichotokea huko mbweni , unguja siku ya alkhamis mchana tarih 1/5/2014 kutoka kwa ndugu yake Sultan Ahmed Salim ambaye ni diwani kata ya upanga mashariki, Dar.
Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kuweza kuwahi kuswalia swala ya janaiz ya Babu Eddy ambaye alikuwa rafiki kipenzi cha almarhum Baba yangu mzazi.
Nitaandika wasifu wake inshAllah nikirudi Doha leo ijumaapili mchana lakin kwa kifupi kwa wale wazee wa zamani kule Znz watamkumbuka kwa kuwa alikuwa mchezaji mahiri sana wa football lakin vile vile miaka ya mwanzoni mwa 70s alikuwa head of finance TANESCO makao makuu na miaka ya 80s alikuwa Head of Finance ETISALAT Abu dhwabi UAE kabla mwaka 1999 kuhamishiwa Zanzibar kuja kuanzisha kampuni ya simu ya ZANTEL Znz kwa kuwa Mtendaji mkuu (CEO).
Kwa walioishi Abu dhwabi ni pigo kubwa sana kwani alikuwa sit u ni kiungo cha waTz waishio huko bali alikuwa baba mshauri na alikuwa mzalendo mkubwa sana wa kuipenda nchi yake Znz na Tz kijumla.
Upande wangu mimi nilisoma na ndugu yake Majjid skuli moja lakin ndie yeye aliyenipa ushauri nijiunge na Udsm kozi ya BCOM na niachane na Engineering ( kwani form six nilifaulu vizuri sana masomo ya PCM)
InshAllah mengi nitaandika baadyn kwa sasa ni budi tuzikubali kadari za muumba kuwa kila kilichoumbwa naye basi kitarejea kwake.
INNA LILLAH WAINNA ILAIHHI RAJIHUNNA
Dr Hamza Yousuf Al Naamani

Nitaandika wasifu wake insh'Allah nikirudi Doha leo ijumaapili mchana lakin kwa kifupi kwa wale wazee wa zamani kule Znz watamkumbuka kwa kuwa alikuwa mchezaji mahiri sana wa football lakin vile vile miaka ya mwanzoni mwa 70's alikuwa head of finance TANESCO makao makuu na miaka ya 80's alikuwa Head of Finance ETISALAT Abu dhwabi UAE kabla mwaka 1999 kuhamishiwa Zanzibar kuja kuanzisha kampuni ya simu ya ZANTEL Znz kwa kuwa Mtendaji mkuu (CEO).
Kwa walioishi Abu dhwabi ni pigo kubwa sana kwani alikuwa sit u ni kiungo cha waTz waishio huko bali alikuwa baba mshauri na alikuwa mzalendo mkubwa sana wa kuipenda nchi yake Znz na Tz kijumla.
Upande wangu mimi nilisoma na ndugu yake Majjid skuli moja lakin ndie yeye aliyenipa ushauri nijiunge na Udsm kozi ya BCOM na niachane na Engineering ( kwani form six nilifaulu vizuri sana masomo ya PCM)
Insh'Allah mengi nitaandika baadyn kwa sasa ni budi tuzikubali kadari za muumba kuwa kila kilichoumbwa naye basi kitarejea kwake.
INNA LILLAH WAINNA ILAIHHI RAJIHUNNA
Dr Hamza Yousuf Al Naamani
Nilipokea akhabari za masikitiko na khuzuni kubwa za Mzee wangu Mohamed Ahmed Salim maarufu kama BABU EDDY(ndugu yake Salim Ahmed Salim) kilichotokea huko mbweni , unguja siku ya alkhamis mchana tarih 1/5/2014 kutoka kwa ndugu yake Sultan Ahmed Salim ambaye ni diwani kata ya upanga mashariki, Dar.
Namshukuru Allah kwa kuniwezesha kuweza kuwahi kuswalia swala ya janaiz ya Babu Eddy ambaye alikuwa rafiki kipenzi cha almarhum Baba yangu mzazi.
Nitaandika wasifu wake inshAllah nikirudi Doha leo ijumaapili mchana lakin kwa kifupi kwa wale wazee wa zamani kule Znz watamkumbuka kwa kuwa alikuwa mchezaji mahiri sana wa football lakin vile vile miaka ya mwanzoni mwa 70s alikuwa head of finance TANESCO makao makuu na miaka ya 80s alikuwa Head of Finance ETISALAT Abu dhwabi UAE kabla mwaka 1999 kuhamishiwa Zanzibar kuja kuanzisha kampuni ya simu ya ZANTEL Znz kwa kuwa Mtendaji mkuu (CEO).
Kwa walioishi Abu dhwabi ni pigo kubwa sana kwani alikuwa sit u ni kiungo cha waTz waishio huko bali alikuwa baba mshauri na alikuwa mzalendo mkubwa sana wa kuipenda nchi yake Znz na Tz kijumla.
Upande wangu mimi nilisoma na ndugu yake Majjid skuli moja lakin ndie yeye aliyenipa ushauri nijiunge na Udsm kozi ya BCOM na niachane na Engineering ( kwani form six nilifaulu vizuri sana masomo ya PCM)
InshAllah mengi nitaandika baadyn kwa sasa ni budi tuzikubali kadari za muumba kuwa kila kilichoumbwa naye basi kitarejea kwake.
INNA LILLAH WAINNA ILAIHHI RAJIHUNNA
Dr Hamza Yousuf Al Naamani
Inna li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun.
Dr Kumbe tulikuwa wote mazikoni farewell babu eddy ni mtu aliyewasaidia sana vijana wa kisomi pale zanzibar. Utakumbukwa kwa mengi but moja ucheshi na ukaribu na watu.
Inasikitisha sana watu kama hawa hawagombei nafasi katika siasa but I respect their wishes. Ila ni watu ambao walikuwa na mapenzi ya dhati kwa zanzibar na tanzania kwa ujumla.
Inna lillahi wainna ilaihi rajiun