Bariadi Mganga

Humu humu unaweza pata msaada kwa Mshana Jr tumia hii fursa bila gharama kubwa, zimwi likujualo ni bora kuliko jipya.
 
Hayaja kukuta bado!
 
sisi wakatoliki tunaita kristu
TEC wamesahihisha, na kama kweli wewe ni katoliki jitahidi sana kufuatilia hata mapadre wanajitahidi sana kutumia kristo badala ya kristu.
Hata kwenye sala ya kanuni ya imani, wanajitahidi sana kusema nasadiki kwa Yesu Kristo, ili waamini na sie tuelewe hayo mabadiliko
 
kristu, tumaini letu
 
wanabadili badili tu, wanazingua sana hata sala kikundi cha wachache kinabadili
TEC ndio wanabadili mkuu.
Hata sasa hivi kusoma masomo la kwanza na la pili,
unatakiwa kusema "SOMO LA KITABU CHA......" na sio "SOMO KATIKA KITABU CHA...."
 
Andrea/Andrew/Endru Chenge.
Aha ha a uchawi unakuzwa kuliko uhalisia.

Kama sio mwenyeji wa maeneo haya ukipangiwa hata kituo cha kazi unaweza goma.

Hizi habari za gamboshi hazina tofauti na za kule sumbawanga uzushi mtupu.

Mchawi ni hofu na akili yako, haiwezekani mganga masikini akutatulie matatizo uwe billinionare ni imani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…