Bariadi Mganga

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
1,087
Reaction score
1,317
Wakuu naiman wote mko salaama ,naomba kuelekezwa mganga mkweli ambae sio msakatonge/mpiga dili ambae anapatikana bariadi [emoji120]
 
Nauliza tu hivi kweli mganga anaweza kukutatulia matatizo yako, au anakupa ushauari tu?. Nauliza hivi kwasababu sijawahi kufika kwa mganga na sina nia ya kwenda kwa mganga.


Nangatukaa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
unamiaka mingapi na umeiajiri au umwajiriwa..tuanzie hapo kwanza
 
unamiaka mingapi na umeiajiri au umwajiriwa..tuanzie hapo kwanza
Miaka na kuajiriwa inahusiana kivipi na hili swali??


Ndukiiiii is πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Miaka na kuajiriwa inahusiana kivipi na hili swali??


Ndukiiiii is πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
baasii kwakua umeshindwa kuhusianisha swali na uzi..ntapotez mda kuweka mzigo juu ya kichwa cha kuku
 
Kaa utulie utamaliza watu kwenye ukoo bariadi ndio kwao na makafara kwa ukanda wa ziwa utajikuta ΓΊkoo mzima umebaki peke yako watu wote umemalizia Gamboshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…