Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,974 Reaction score 13,434 Aug 10, 2021 #21 Akachezee Boca Juniors msimu mmoja Nalog off
Bia Ya Moto JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 1,227 Reaction score 2,819 Aug 10, 2021 #22 Barca watakula walikopeleka mboga..
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 23,028 Reaction score 33,009 Aug 10, 2021 #23 Barca .....wanaelement za MOO[emoji23][emoji23]
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Aug 10, 2021 #24 FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka [emoji23] Click to expand... Atakua karogwa
FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka [emoji23] Click to expand... Atakua karogwa
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Aug 10, 2021 #25 Nilisikia jana mchana hii Lengo lao hapa nikuizubaisha deal hiyo wakati wao wanajipanga kwenda kulalamika sakata hilo mahakama ya FIFA hiyo yote kujarbu kupigana Messi asalie Camp Nou
Nilisikia jana mchana hii Lengo lao hapa nikuizubaisha deal hiyo wakati wao wanajipanga kwenda kulalamika sakata hilo mahakama ya FIFA hiyo yote kujarbu kupigana Messi asalie Camp Nou
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Aug 10, 2021 #26 FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka 😂 Click to expand... Ww tulia hivyo hivyo, jaribuni kuiacha Arsenal ipumzike
FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka 😂 Click to expand... Ww tulia hivyo hivyo, jaribuni kuiacha Arsenal ipumzike
myoyambendi JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 174,811 Reaction score 721,143 Aug 10, 2021 #27 FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka 😂 Click to expand... Kina ubaya
FORTALEZA said: Kwahyo Barcelona wanataka Messi aende Arsenal akacheze na Bukayo Saka 😂 Click to expand... Kina ubaya