Barcelona wanawezaje?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,702
Reaction score
58,766
Hii timu kila mwaka ina watoto lakini kila mwaka ina combination hatari kwenye Laliga inasumbua.

Hawasajili hata mchezaji mmoja wa pound 100 million Kama zilivyo timu nyingi mbovu

Lakini wanasumbua na watoto wao wanafanyaje kuliko man u, Madrid, mancity na wengine

Sioni timu ya kucheza nao ulaya labda psg pekee kwa Msimu huu.

Wanawezaje wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…