VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Mabao ya 87 na 88 ya Lionel Messi ya mwka huu yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 2-0 dhidi ya Cordoba katika mzunguko wa kwanza wa 16 bora katika michuano ya Copa del Rey. Wakati huo huo,Real Madrid ilichezea kichapo cha 2-1 toka kwa Celta Vigo,lishukuliwe bao la Christiano Ronaldo walilolipata ugenini. Sasa Messi ana mabao 88 mwaka huu wajameni. Ni soo,ni noma!
I hate Barcelona FC.
Kwanini Kiranja?
They think that; No one can play like them. They show signs of not being from this planet.
Kwani si kweli?
So to Real Madrid.I hate Barcelona FC.
Well, it's true you hate even your NAME!View attachment 74924
I do hate Barca for cheating, I hate them for spending more than they can afford, I hate them for exploiting a sad passage in Spanish history, when they claim to be morally above everyone else. They use Catalan pride to try and buy Cesc, they say they cannot afford him but Arsenal should let him come home. That summer they bought Villa, Mascherano, and Adriano. That's the kind of nonsense I cannot stand. I don't like even watch them playing.
Kwanini Kiranja?
I hate Barcelona FC.
hivi Christian ana magoli mangapi?Mabao ya 87 na 88 ya Lionel Messi ya mwka huu yalitosha kuipa ushindi Barcelona wa 2-0 dhidi ya Cordoba katika mzunguko wa kwanza wa 16 bora katika michuano ya Copa del Rey. Wakati huo huo,Real Madrid ilichezea kichapo cha 2-1 toka kwa Celta Vigo,lishukuliwe bao la Christiano Ronaldo walilolipata ugenini. Sasa Messi ana mabao 88 mwaka huu wajameni. Ni soo,ni noma!
I do hate Barca for cheating, I hate them for spending more than they can afford, I hate them for exploiting a sad passage in Spanish history, when they claim to be morally above everyone else. They use Catalan pride to try and buy Cesc, they say they cannot afford him but Arsenal should let him come home. That summer they bought Villa, Mascherano, and Adriano. Thats the kind of nonsense I cannot stand. I dont like even watch them playing.