D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
wakuu nadhani mtatusaidia kupata update za mechi hii itakayopigwa marekani tunaomba msaada tuliopo huku kitapilimwa,ibofwe,magangamatitu ambako TV tunazisikia tu [emoji120] [emoji120]
Mechi itachezwa saa tisa kamili 03:00 am alfajiriwakuu naombeni taarifa zaidi nimetoka bush nasikia habari ya hii mechi ahsa naomba taarifa za kina