Barcelona na Arsenal watashinda mechi zao za marudio UEFA

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,828
32,737
Mzuka wanaJF!

Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto mnaweza kutoka.

Narudi Kuala.
 
Hahahahaha ukiamka Nabii utwambie unaitwa Nabii nani.
Uote na ile ndoto kama ya Kamanda Gobless Lema itakuwa bomba sana.

Mzuka wanaJF!

Nimetoka kuota Sasa hivi Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto mnaweza kutoka.

Narudi Kuala.
 
Arsenal wenyewe wanataka kujitoa kama Chad arsenal watafungwa goli chache nyumbani mbili au moja tuu barc kule atapewa tuta mapema na kadi nyekundu tuone kama watafikisha hizo goli tano..
 
Mzuka wanaJF!

Nimetoka kuota Sasa hivi Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto mnaweza kutoka.

Narudi Kuala.
Ndoto za Alinacha hizo au za Abunuwasi
 
Mzuka wanaJF!

Nimetoka kuota Sasa hivi Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto mnaweza kutoka.

Narudi Kuala.
Daaaa hii ndoto.....kama unajifariji vile.
 
Mzuka wanaJF!

Nimetoka kuota Sasa hivi Barca itamfunga PSG 7-0 mechi ya marudiano na kusonga mbele. Aidha vijana wa Wenger watamkung'uta Bayan 6-0. Kama ikitokea hivi najitangaza Mimi nabii. Mnaobet zingatien hii ndoto mnaweza kutoka.

Narudi Kuala.
Mungu siyo Magufongoooooo
 
Hi Tanzania65

Your ticket for the Arsenal vs Bayern Munich game is confirmed – please could you get in contact with Fran (cc’d) and she will sort out payment etc.

Hope you are well.

With best regards,

Rob
-------
Anayehitaji ticket ya hii game wasiliana nami..(kama uko UK)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom