Hilo lilitegemewa. Bahati haiwezi kujirudia bali humwangukia mwingine na ndo maana jana Real Madrid imewakuta maana wamepita kwa msaada mkubwa wa Refa kwa red card isiyostahili kwa Bayern na magoli mawili ya offside za wazi kabisa. Kuna wkt tunalaumu marefa wetu lkn naona wanajitahidi sana maana kwa jana ilikuwa zaidi hata ya mechi za daraja la tatu kwa TZ. Uzur wa wenzetu ni kuwa wanajifunza na kurekibisha timu zao kwa misimu inayofuata ili kufanya vzr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.