Barcelona itamheshimisha Memphis Depay

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,355
Reaction score
2,261
Kwa uwezo alionao Olympic Lyon haikuwa hadhi yake. Kwa kuwepo kwake Barca dunia itaushuhudia uwezo wake mkubwa katika soka. Msimu umeanza tu kawaficha kina Griezmann na wenzake anaonekana ndio super star wa timu.
 
Jamaa ana uwezo mkubwa. Sitoshangaa akiwa top scorer wa La liga msimu 2021/22.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…