Barca the invicible-ushindi tupu.

Barca the invicible-ushindi tupu.

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Kama ilivokuwa kawaida ya timu yoyote ikipangiwa na Barca lazma waanze kutapa tapa au mashabiki wa madrid lazima waiombee dua baya lakn kama unavyojua dua la kuku halimpati mwewe ndo vijana wa barcelona watapothibitisha usemi huo kwa kuichabanga Munichen Alianza Arena kwenye dimba la kwao

Messi alipocheza leo hamshindi"hayo ni baadhi tu ya maneno ya wafa maji hawaachi kutapatapa,ni lazima ikumbukwe kuwa Barca ni timu ambayo imeundwa na vipaji kuanzia first eleven had reserve hivo sio timu ya kubezwa hata kidogo ndo mana ikawa timu bora ya karne suala la mess kuwepo au kutokuwepo sio sababu sana ya timu kutoshinda kwani wachezaji kama Jordi alba,Dan Alves,Gerald Pique,Puyol,Marcherano,Andres Ineasta,Cesc Fabrigas,Alex Sanchez,Thiago,Xavi,Pedro ,dVilla,Rodrigues,valdes, etc si wachezaji wa kubeza hata kidogo ni hatari sana na wana records mbalimbali za soka hapa duniani kwa wale wanaofuatilia mpira wanajua kama unashangilia jezi huwezi kunisoma
Hivo basi hutakiwi kuibeza hata kdgo barca
Mimi narudia tena barca ushindi kama kawaida.....


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom