Barca asiposinda leo nameza kisu!

La liga anaongoza nani,au ndo huyo XABI !!huo ushabiki PSG wenyewe wanajua watafanywa nini pale neo camp


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wangejua wangejitoa mkuu upenzi usizidi sana mtachanganyikiwa.
 
Mungu akupokee panapostahili mkuu mwekundu maana kifo umejitakia mwenyewe.Jamani aliyepo eneo la tukio atupe updates za jinsi msiba unavyoendelea huko. Maana na uhakika mpaka sasa huyu mtu ameshakufa tangu ameze hicho kisu!!!!
halafu jina lake lataka kufanana na cha kutolea uchafu mkubwa mwilini.
 

Taabu ya hicho kisu si kukimeza; subiri utokaji wake ukienda msalani kujiSEVU🙂
 
mkuu nimekupata 1 wewe ni shabiki wa r.madrid hata barca akishinda utatoa sababu nyengine na si hasha ukasema refa kawapendelea ila nakubaliana na maneno yako barca ile iliyompiga real madrid 5 kwa bila mwaka 2010 si hii barca ya leo na hivyo ndivyo inavyo kua hata kwa real madrid ya mwaka jana si hii ya leo ila hilo halionekani kwa sababu real amemfunga barca mara 2 katika mwaka huu mkuu nakuuliza kitu kimoja ivyo ac milan walitegemea kipigo kile cha paka mwizi pale camp nou walijua wanaenda kutoa droo matokeo yake wame pigwa 4 tuwaangalie real madrid leo c jui wakifungwa tutasema utasema kiwango chao kimeshuka baaden mkuu.

i angalia hii picha kwanza off side au sio offside naomba unambie ukwel.
na hii ni foul au s i foul
 

Mkuu hii ni penalti na lile ni goli halali kabisa kwani hapo ni picha lakini mabeki wa Barca walikimbia yaani walishtuka wakati mpira umeshapigwa. Real Madrid saaizi ni wazuri zaid ya mwaka jana ingawa ligi walianza vibaya hii inatokea hasa wachezaji wanapokuwa hawajaelewana vizuri...Leo anapiga mtu ila sisemi nitameza kisu kwani najua mpira ni mchezo wa makosa pia..
 
mkuu wee ni mbishi tena ubishi wako umepitiliza unasema goli alilofunga ibra ni halali kbisa kwa maana hiyo wee umewashinda wadau wa michezo wenye kuyachambua michezo na kuhakikisha kua hilo ni offside na hata hiyo picha wamekuwekea wee bado unabisha na kwa taarifa yako yule refa aliechezesha gem ta barca na paris tayari amesha funguliwa mash-taka kutokana na uzembe alio ufanya wee kaa tu hapo na ushabiki wako wa jangwani fuatilia mkuu na match ikimaliza basi kaa katika luninga usikilize wachambuzi wa michezo wanavyo chambua au japo magazeti yetu ya tz jaribu kupitia pitia alau ukitoa hoja unatoa na dalili wee basi hata huoni kua ibra yuko offside na tayari mpira ushapigwa kichwa na tiago silva

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…