2po pa1.Naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA,Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu pale tulipowapiga Ac millan so ni changamoto kwetu hamna kulala na hatutafanya uzembe kama wa mechi ya mwanzo na Ac milan.Tumefanya hivo kwa kuimarisha safu ya ulinzi mzee Abidal ndani ya nyumba,bila kusahau tume sharp mashambulizi na kumuongeza D villa ambaye huwa anasaidiana moja kwa moja na THE KING of football MESSI pamoja na mentality ya wachezaji wetu ambapo tunaweza kusema barca wametoka "jando",kiutabili leo kwa sababu tupo out tutapiga 3 au 2 hivi kisha tunawasubiri next week tumalize gameSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kumbe kusinda mi nilijua kushindaNaam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya Crown ya La liga na UEFA,
Lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu pale tulipowapiga Ac millan so ni changamoto kwetu hamna kulala na hatutafanya uzembe kama wa mechi ya mwanzo na Ac milan.Tumefanya hivo kwa kuimarisha safu ya ulinzi mzee Abidal ndani ya nyumba,bila kusahau tume sharp mashambulizi na kumuongeza D villa ambaye huwa anasaidiana moja kwa moja na THE KING of football MESSI pamoja na mentality ya wachezaji wetu ambapo tunaweza kusema barca wametoka "jando",kiutabili leo kwa sababu tupo out tutapiga 3 au 2 hivi kisha tunawasubiri next week tumalize game
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
wambiye hao 2-2 hio ni ushindi kwa barca camp nou wanakuja kupigwa 32-2 ugenini ni ushindi?mbna nyie mashabiki wa man U mlifurahia draw bernabeu na Madrid? Sasa kama ndo tunaimalizia pale Neo camp itakuwa easy tu kama kumsukuma mlevi ,I promise u tunapga 4 bila next week!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
2-2 ugenini ni ushindi?mbna nyie mashabiki wa man U mlifurahia draw bernabeu na Madrid? Sasa kama ndo tunaimalizia pale Neo camp itakuwa easy tu kama kumsukuma mlevi ,I promise u tunapga 4 bila next week!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
naam kama kawaida yetu palguarana ni mwanzo mwisho kuweka historia this time tunaweka historia ya crown ya la liga na uefa,
lazima ikumbukwe kuwa mechi iliyopita ndo ilikuwa fainali haswa kwetu pale tulipowapiga ac millan so ni changamoto kwetu hamna kulala na hatutafanya uzembe kama wa mechi ya mwanzo na ac milan.tumefanya hivo kwa kuimarisha safu ya ulinzi mzee abidal ndani ya nyumba,bila kusahau tume sharp mashambulizi na kumuongeza d villa ambaye huwa anasaidiana moja kwa moja na the king of football messi pamoja na mentality ya wachezaji wetu ambapo tunaweza kusema barca wametoka "jando",kiutabili leo kwa sababu tupo out tutapiga 3 au 2 hivi kisha tunawasubiri next week tumalize game
sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Kisu kimemezeka? Uwanja wa Barca unaitwa Nou Camp (wahispania/wakatalania wanapenda kuuita Camp Nou) mkuu sio Neo Camp... Safari imewadia hawa Barca wameshachoka sasa na zama zao zimekwisha sasa, wajijenge upya kuanzia msimu ujao..
Kisu kimemezeka? Uwanja wa Barca unaitwa Nou Camp (wahispania/wakatalania wanapenda kuuita Camp Nou) mkuu sio Neo Camp... Safari imewadia hawa Barca wameshachoka sasa na zama zao zimekwisha sasa, wajijenge upya kuanzia msimu ujao..
Ahadi uweke wewe,kucheza wacheze wao! Kimeze
tupe japo sababu 3 za msingiKisu kimemezeka? Uwanja wa Barca unaitwa Nou Camp (wahispania/wakatalania wanapenda kuuita Camp Nou) mkuu sio Neo Camp... Safari imewadia hawa Barca wameshachoka sasa na zama zao zimekwisha sasa, wajijenge upya kuanzia msimu ujao..