Greater thinker
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 286
- 38
Nmemsikia asubuhi akimfokea Masoud asiendelee kuongea kitu ambacho ameshakiongea tayari. Masoud alifanya hvyo kuonyesha namna gani alichukia baada ya kusikia wananchi wakiiomba serikali ikawamwagilie maji kwny barabara ambayo imetibuliwa na trekta na akawa anawaambia kuwa kwanini wasingeomba lami...
Babra kawa tofauti kabisa aisee jadi anaharibu ladha ya kipindi
Nitamtetea babra katika hilo.......
Hivyo show ilivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa PB ni serious show iliyo ambatana na utan............ Barbara yupo apo kwenye iyo show kwa takriban miaka nane sasa na KP ni mkongwe so hawewezi kutoelewana kama unavyofikiria wew na kuhusu czar "MLETA MAGAZETI" sio jina la kashfa kama unavyodhani wew Baada ya G hando na PJ kuondoka PB walikuja na style mpya ya kuonesha kama kuna kijana analeta magazeti kutoka mtaani na wana mlipa kutokana na magazeti anayoleta
CZAR wanamuheshim sana na ndio maana walimpeleka Paris juzi juzi apa na alikuwa anatoa taarifa mbalimbali ya vile alivyooviona huko he is very smart kichwani ni boss huyo huyo babra aliyeidhinisha hiyo safari sasa utasemaje BH ana mdharau CZAR kaka??
Wote tunajua changamoto walizo nazo wanawake sio siku zote wanakuwa sawa na apo KP kaonesha ujetromen huwezi ku argue na mwanamke siku zote utaishia kuaibika..... siwez kuzungumzia iyo incident ya leo sijasikiliza show ila mdau mkubwa wa PB na nina amini katika uwezo wa Babra Hassan
Kaka CZAR hafokewi ila ni utani katika kunogesha show braza ukizingatia ni mdogo ki umri so wana mtreat kama mdogo wao kwa kumtania ungeelewa kwanza THEME ya PB usingeshangaa kinachotokea nduguKwa hyo BH siku hizi sio Mkali ?Hafoki Hafoki ? Sio busara bwana kumuita ' MLETA MAGAZETI ' hata kama jamaa hajapata mkataba bado so long as ashapata shavu la kuwa kwenye kipindi hilo jina waliminye tu.Na mimi wala sijazungumzia yeye kugombana na Kp ni jinsi tu anavyoendesha mfumo mzima wa Kipindi na hiyo ya kuhidhinisha Cizar kwenda FRANCE haiondoi ukweli kuwa huwa anamfokea sana kwenye kipindi na kumuumbua hewani.
Unapoenda kufungua radio station or tv station unapewa kibali na TCRA lakin wakati TCRA wanakupa kibali huwa wanataka kujua theme ya kituo chako.... kuna watu huwa wanabeza kuwa clouds imejikita katika burudani wanasahau kuwa hiyo ndiyo theme ya kituo chao na TCRA wanalijua hilo na vipindi vyao vingi vinahusu burudani unlike sahara comm (RFA & Star tv) wanajihusisha na masuala ya kijamii zaidi so kipindi cha tuongee magazeti hakiwezi kuwa sawa na kuperuzi na kudadisi as a segment ya PB.......... again brother ukielewa theme ya PB haitakusumbua kujua nini kinachoendelea