Baraza mseto la mawaziri

mikaka mingine sijui vipi.yaani kaharibu hali ya hewa ile mbaya.
 

Nadhani hayo sasa ni mawazo ya katiba mpya, vuta subira wajumbe wa tume ya katiba watakufikia, ujimwage.
 
Chadema ni chama makini, mtego huo wa kijinga hauwezi kuwanasa. Na hata kama wakichaguliwa naamini hawakubali uteuzi huo wa kinafiki wenye lengo la kuua harakati.

Naamini wakichukua kichwa kutoka cdm kuingia kwenye baraza la mawaziri watakuwa wamekiimarisha chama zaidi kwa sababu wizara hiyo itakayoongozwa na CDm haitakuwa na kashfa yoyote.

Ila kwa kuwa CCM wana mchezo mchafu wanaweza kupandikiza watendaji wabovu ndani ya wizara hiyo ili kumharibia mtu wetu.
 
Mbona Obama alimbakiza secretary wa ulinzi wa kipindi cha Bush bwn Gates? Wht kind of winner takes all is William talking about? Si nasikia ulikuwa unakaa US, umesahau?
 
kwa katiba ya tanzania ya sasa hii haiwezekani
 

Yeah naungana na wewe kabisa hakuna haja ya kukimbilia kuunda coalition government kwa sasa kwani huko ni kuua upinzani kwani upinzani dhaifu una result into serikali dhaifu! Pili nakubaliana na wewe kabisa kuwa ipo siku wapinzani wataingia madarakani na walio madarakani kuingia upinzani na kwa alama za nyakati siku hiyo ni less or equal to 2015!!!
 
Under a promising politic turnover that thing is impossible,cdm itachukua nchi 2015 hvy hamna haraka.
 
- Impossible understand kwamba tunafuata mfumo wa Demokrasia unaoitwa The Winner Takes All, kama wa USA so haiwezekani kabisa kuwa na Serikali ya mseto under mfumo tulionao sasa, unless tumeubadili!

William.

mkuu unaujua mfumo uliotumiwa na the winner wa zanzibar mwaka2010??au the winner takes it all except in zbar??
 
Serikali ya mseto inategemea katiba au makubaliano ya vyama husika.je kuna mahali kwenye katiba kunakosema rais atateua mawaziri ambao ni kutoka chama chake
 
jk ni mjanja sana,imagine zitto anapewa nafasi ya mkullo..je atakataa uteuzi wa rais?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Ngoma ni pale itakapoidhinishwa na Rais atoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara na shule za kata.kwa Kigoma Bagamoyo nk atatoa lkn Sera za CDM ni Majimbo watamkubalia kweli? USA wana sera za muda mrefu za kuitawala Dunia, Obama kutokana na nasaba yake na Dini asingemkamata Osama na angeondoka Mashariki ya kati
Mseto ni vigumu hata akimjaribu Shibuda na Zito mm nashauri acheni Meli izame kwani huwezi dandia Meli uliyoondoka Ni Mawimbi Tu Yatapita subirini 2015 itakavyopita wima km treni ya bara mwiko kudandia kwa mbele
 
Serikali ya mseto inategemea katiba au makubaliano ya vyama husika.je kuna mahali kwenye katiba kunakosema rais atateua mawaziri ambao ni kutoka chama chake ambaoni wam
 
Kwa katiba yetu ya sasa haiwezekani kwa kuwa inamtaka rais kuchagua mawaziri miongoni mwa wabunge wa chama chenye wabunge wengi.

katiba iyo ni ipi na nchi gani?maana katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya 55 (4) inamtaka rais kuteua waziri na manaibu kutokana na wabunge walioko bungeni,ayo yako yanapatika wapi?tusaidie!
 
katiba iyo ni ipi na nchi gani?maana katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ibara ya 55 (4) inamtaka rais kuteua waziri na manaibu kutokana na wabunge walioko bungeni,ayo yako yanapatika wapi?tusaidie!

tusije kushangaa tukasikia kina sugu au zitto wamo ndani ya baraza jipya.nao wakazione changamoto


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Ktk hii hoja kuna faida na hasara ya CDM kuingia ktk serkali ya mseto.
 
jk ni mtu makini hakuna cha mseto hapo,, alichofanya zitto ni sehemu ya wajibu wake
 

Kweli kabisa inaonyesha jinsi huyu bwana alivyokosa uelekeo kawa mufilisi kisiasa
 

HIvi kumbe Marekani hakuna mawaziri!? huku Tanzania tunawakumbatia mawaziri wa kazi gani?
 
Baraza La Mawaziri.

Waziri Mkuu - John Pombe Magufuli
Waziri wa Nchi - TAMISEMI - Filikunjombe
Naibu TAMISEMI - Anna Kilango Malecela
Naibu Waziri TAMISEMI Elimu - Hawa Ghasia

Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi - Aziz Abood

Waziri wa Kazi na Ajira - Januari Makamba
Naibu Waziri wa Kazi - John Komba

Waziri wa Sheria na Katiba - Celina Kombani

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki - Bernard Membe
Naibu wa Waziri wa Afrika Mashariki - Samia Salum

Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa - Makala
Naibu Waziri wa Kimataifa - John Mnyika

Waziri wa Viwanda - Aggrey Mwanry
Naibu Waziri Viwanda - Anna Tibaijuka

Waziri wa Afya - Dk. Hussein Mwinyi
Naibu wa Afya - Dk. Shekifu

Waziri wa Habari na Michezo na Msemaji wa Serikali - Mwigulu Mchemba
Naibu Waziri wa Habari na Naibu Msemaji wa Serikali - Lembeli

Waziri wa Maliasili na Utalii - Salehe Pamba

Waziri wa Fedha - Zitto Kabwe
Naibu Waziri wa Fedha - Majaliwa K. Majaliwa
Naibu Waziri wa Fedha -

Waziri wa Elimu - Dk. Kawambwa
Naibu Waziri wa Elimu -

Waziri wa Mambo ya Ndani - Augustino Mrema
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani - Tundu Lisu


Naendelea kupokea maoni ili niyafikishe kwa Mhe. JK kwa uamuzi maana siku hizi anahitaji msaada hata katika kupata Baraza lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…