Baraka za Ndoa

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,878
Reaction score
10,515
Nimekuwa nasikia kwa wanandoa wanaoheshimiana na kuthamini familia zao Mungu huwa anawabariki na wanapata mafanikio tofauti na wale wasioheshimiana na kupendana

Walio peke yao (single) mafanikia walio nayo huwa yanaongezeka mara 2 au tatu endapo ataingia katika ndoa yenye amani/upendo/na ucha mungu

JE NI KWELI?
 
Ni kweli kabisa.
Mi nikiwa single sikuwahi kuwa na watoto, lakini mara tu baada ya kuoa Mungu akanijalia watoto double-double, furaha double-double.
 
Si kweli ..hizo habari zinapotosha....ahahhaha tena Mara nyingi inakua kinyume...Walio kwenye Ndoa wanaujua ukweli..
 
Hayo usemayo ni kweli .....ndoa tamu jamani penye amani kuna maendeleo na Mungu anatia mkono wake wa baraka juu yenu..lakini ukimpata mwenzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…