Raisi wa Marekani Baraka Obama anatuma Wanajeshi 4000 huko Afrika ya Magharibi kwenda kupambana na ugonjwa wa Ebola, Uingereza nayo inatuma Wanajeshi 3000 pia huko AM kwa lengo hilo hilo la kupambana na Ebola, sasa swali la kujiuliza ni Je kuna uhusiano gani kati ya Jeshi na Ugonjwa wa Ebola?
Ijulikane kwamba wiki iliyopita Raisi Obama alikuwa na kikao cha kumshauri jinsi ya kudili na Ebola huko AM na waliohudhuria kikao hicho ni Wazriri wa Ulinzi Chuck Hagel, Mshauri wa masuala ya Ulinzi Bi.Susan Rice, Waziri wa Vita wa Marekani anayejulikana kama USA secretary of Veteran Affairs na hawa ndio waliohuduria huo Mkutano wa Obama wa ushauri wa jinsi ya kudili na Ugonjwa wa Ebola huko Afrika ya Magharibi, hakuna Waziri wa afya wala mtu wa hiyo wizara hiyo ambapo ilitegemewa kwamba kuwe na wawakilishi wengi ktk wizara ya Afya!
The Vice President
Chuck Hagel, Secretary of Defense
Jeh Johnson, Secretary of Homeland Security
Antony Blinken, Deputy National Security Advisor
Lisa Monaco, Assistant to the President for Homeland Security and Counterterrorism
Denis McDonough, Chief of Staff
Susan Rice, National Security Advisor
Antony Blinken, Deputy National Security Advisor
Lisa Monaco, Assistant to the President for Homeland Security and Counterterrorism
Benjamin Rhodes, Deputy National Security Advisor for Strategic Communications and Speechwriting
Jennifer Palmieri, Director of Communications
Anita Decker Breckenridge, Deputy Chief of Staff for Operations
Suzanne George, Executive Secretary and Chief of Staff of the National Security Council
Rand Beers, Deputy Assistant to the President for Homeland Security
Brian Egan, Deputy Counsel to the President
Colin Kahl, National Security Advisor to the Vice President
Ukiangalia hiyo orodha hapo juu utaona kwamba hamna watu wa Wizara ya afya ambao ndio walipaswa kuwa wahusika wakuu, vile vile
Kwa hali ya kawaida mtu ulitegemea Raisi Obama atume zaidi madaktari na watu wengine wa mambo ya Afya huko AM na sio Wanajeshi!
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.

Nigeria ni nchi pekee iliyoweza kutokomeza kabisa janga hili la ebola. Lakini mbona wao sijasikia wametokomeza kwa kutumia hao wanajeshi? Km kweli nia ni kutokomeza ugonjwa kwanini wasiwasaidie AM kwa njia alizotumia Nigeria ?
Nakwambia tusubiri...na hizi nchi zote zina madini ni hatareeee
Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.
Umesoma wapi hio? Maana hata Marekani wenyewe hawajasema hivyo. Sasa ndugu, wewe hio umetoa wapi au umefikiria mwenyewe?Hao ni wanajeshi madaktari. Huweezi kupeleka madaktari waliozoea viyoyozi kwenda kutibu Ebola ktkt mazingira yale,. Ebola kule AM ikokatika mazingira magumu ambayo madaktari wenye wanajeshi ndio wanaweza kufanya mazingira hayo. Wenzetu wamejipanga
Na mimi nasema SIKUBALIANI NA MANENO ACHILIA MBALI MAWAZO YAKO!!! Kilichoifanya Marekani na washirika wake kupeleka jeshi huko ni mali hasa dhahabu na mafuta!! unaposema madaktari hawatakubali unamaanisha nini? unajua Cuba ma DR wangapi wamepelekwa AM? hili swala la kupeleka majeshi ma sio ma-DR kupambana kamwe haina logic yoyote!!Ulitaka watume madaktari wa kiraia 4000!! Wangewatoa wapi? Assume wewe ni daktari ndo serikari yako ikuombe (manaake haiwezi kukuamuru) kwenda AM kupambana na ebola utakubali? Mie sikubali. Ndo maana hizi serikali hutumia jeshi kwenye majanga sababu jeshini kuamlishwa tu na utekerezaji unafanyika, haya majeshi yana watu wa taaruma mbalimbali na waloenda ni wataalam wa afya, hizo serikali sio jinga zimeleke wanajeshi/raia wake huko ambao sio wenye taaluma ya afya make matokeo yake ni kuambukizwa ugonjwa kizembe kwa kukosa utaaramu.
Nigeria ni nchi pekee iliyoweza kutokomeza kabisa janga hili la ebola. Lakini mbona wao sijasikia wametokomeza kwa kutumia hao wanajeshi? Km kweli nia ni kutokomeza ugonjwa kwanini wasiwasaidie AM kwa njia alizotumia Nigeria ?
Ajuza.....mambo niaje?:A S wink:
Mambo poa...hujambo mzee mwenzangu? :A S 11: