Baraka da prince yuko vizuri sana hasa upande wa video na ndio maana japo alikuwa underground lakini nyimbo yake ilikuwa inapigwa kwenye vituo vikubwa vya TV na wala kwake haikuwa sherehe kama ilivyo kwa yule mlinzi wa mijusi.
Iko sawa ngoma na video,nimemuelewa!japo kama alivosema pwilo hapo juu idea zake za video zinafanana,sasa cjui tatizo ni yeye mwenyw au ni madirector!n way azidi kuwa mbunifu atafika mbali kimtindo.