ONANI OH NENE
Member
- Jun 14, 2019
- 29
- 28
Hapana Sio kiki hii Ilikuwa tarehe 22/07/2019 Usiku wa saa 23:22pm baada ya mama Baraka kupiga simu kwa kaka yake Baraka kumpa Taarifa.Msije kuwa mnatafuta kiki ya wimbo mpya
Hapana Sio kiki hii Ilikuwa tarehe 22/07/2019 Usiku wa saa 23:22pm baada ya mama Baraka kupiga simu kwa kaka yake Baraka kumpa Taarifa.Kiki
23:22pm ndo nini hii mkuu?Hapana Sio kiki hii Ilikuwa tarehe 22/07/2019 Usiku wa saa 23:22pm baada ya mama Baraka kupiga simu kwa kaka yake Baraka kumpa Taarifa.
Itakuwa amejichanganya nadhani alitaka kuandika 11.22pm...23:22pm ndo nini hii mkuu?
sasa clouds imeingiaje hapoHabari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds [emoji343] na [emoji342] jamani pesa tutafute kihalali asante. #
I pray not maana hawa vijana wa siku hizi hovyoo kabisa!!Msije kuwa mnatafuta kiki ya wimbo mpya
Clouds FM wanaingiaje hapo??Habari wana jamii JF, Taarifa zilizonifikia toka juzi kuwa Baraka yuko hoi hajitambui(ICU) inchini Kenya baada ya kumeza kete za madawa. Safari yake Ilikuwa kutoka Kenya kwenda South Africa, alijisahau akaanza kunywa bia ndipo Hali ikabadilika Sana, Kumbe hata kuachana na mpenzi wake kisa madawa na kutoka Rock star sababu alijiingiza Kwenye madawa walimkataza lakini kijana wapi haelewi Kabisa mpaka alitaka kuuza nyumba yake iliyoko jijini mwanza maeneo ya nyamongolo. Unajua wanamziki wanahalibiwa na jamaa hawa wa clouds [emoji343] na [emoji342] jamani pesa tutafute kihalali asante. #
Nakumbuka mwili wa Marehemu Mangwea baada ya jeneza kutua tu airport mtu wa kwanza kushika jeneza alikua ni Kinje Ngombare Mwiru.Bora punda afe lakini mzigo ufike.