Baraka Da prince auponda wimbo mpya wa Ben pol.

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,844
43,317
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Ben pol kutoa wimbo na watu kupata wasaha wakuusikiliza. Msanii mwenzie ameibuka na kusema kuwa ni upumbavu mtupu... Nami naungana nae kusema ni upumbavu mtupu kwakuwa alifanya upumbavu ili wimbo usonge .

NB: Ukiyaangalia meneno ya baraka utagundua kuwa wamepanga yeye na Ben pol kutafutiana kiki na ni wazi kabisa wamepanga kutukanana.

barakahtheprince_Nimekuwa disappointed Sana huu wimbo... Kwa jamaaa alivyojitoa nilidhani ni kitu kikubwa kumbe upumbavu...
[HASHTAG]#saveourmusic[/HASHTAG]

 
Wasalaam wana jamvi.
Baada ya Ben pol kutoa wimbo na watu kupata wasaha wakuusikiliza.
Msanii mwenzie ameibuka na kusema kuwa ni upumbavu mtupu...
Nami naungana nae kusema ni upumbavu mtupu kwakuwa alifanya upumbavu ili wimbo usonge .

NB: Ukiyaangalia meneno ya baraka utagundua kuwa wamepanga yeye na Ben pol kutafutiana kiki na ni wazi kabisa.
barakahtheprince_Nimekuwa disappointed Sana huu wimbo... Kwa jamaaa alivyojitoa nilidhani ni kitu kikubwa kumbe upumbavu...
[HASHTAG]#saveourmusic[/HASHTAG]


 
Siku Baraka kawa mshauri wa nyimbo za wasanii wenzake....aongee na Salama Jabir warudishe kipindi cha kuponda video maana ndio kazi anayoiweza Baraka Mweusi
 
Washenzi kweli wanatafutiana kiki!
Masikini huyu Baraka kiukweli kadri siku zinavyozidi kwenda naona anapotea!
Nilitokea kumuelewa kweli kwenye ngoma zake tatu za mwanzo
 
Back
Top Bottom