Mimi nilikuwepo huko hivi karibuni bado ipo ila inategemea upepiga picha toka pande ipi hasa. kingine hivi sasa ni wakati wa joto hiyo kwa kiasi fulani barafu inayeyuka. Wakati wa baridi maji toka mito ya karibu uwa yanapungua sana kwani barafu haiyeyuki, wakati wa kiangazi maji yanaongezeka kwenye mito inayotiririka toka mlimani kutokana na kuyeyuka huko