Lionel Messi ni mcheza soka la kulipwa na anachezea timu bora Ulaya kwa sasa iitwayo FC Barcelona. Tunasahau kuwa mpira wa kulipwa ni sawa na ajiri nyingine hivo wachezaji wa vilabu hivo ni waajiriwa na wawapo uwanjani wanakuwa kazini.
Cesc Fabregas i Soler matatu na Alexis Sanchez mawili,Messi,Xavi,Busquets,Valdes,Villa,Alba wote hawakucheza,Pique alitolewa sub,Abidal akaingia,Cesc nae akatoka na Iniesta nae akatoka hawakumaliza mechi dk 90
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.