Barabara za jimbo la Ukonga mbovu sana kulikoni?

Barabara za jimbo la Ukonga mbovu sana kulikoni?

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
Jimbo la ukonga ambalo mbunge wake ni mh jerry slaa lina miundombinu ya barabara ambayo ni mibovu labda kuliko majimbo yote ya Dar es Salaam.

Barabara ya banana- kitunda mashimo matupu.

Barabara ya mombasa hadi bombambili ni shida kubwa

Barabara ya kampala hadi bwera ni shida

Barabara ya majohe ni mashimo matupu pamoja na zingine kwa ufupi jimbo la ukonga halina barabara kabisa.

Hivi kweli jimbo hili lina mbunge na anakaa jimboni na anapita kwenye barabara hizi?
Inawezekana hataki kugombea tena ndio maana hajali maana hali ni mbaya.
 
Back
Top Bottom