Barabara za hatari Bolivia

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,447
Reaction score
8,421
Madereva wetu wa Bongo wanaojifunzia udereva vichochoroni mnaweza kuendesha kwenye barabara hizi?

 
Mh...hata kama MEREJI tanga to chalinze ni 2000000 siendi..
 
Sawa tu na Kitonga, wao hawajaipanua na kuijenga kwa cement badala ya lami, ndio maana inatisha hivyo.
 
Hatari kwelikweli, ingawa hata kina mama nao wanaendesha kwenye ile milima.
 
Last edited by a moderator:
Hii barabara inafanana na ya Uswaa machame wilaya ya Hai kwenye mto. Marire na mto kikafu kama unashukia Kalila kwenda bwani na mronga kwa mh. GODBLESS lema
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…