Barabara Yajitumbua

Hapa kwa kweli ni pagumu. ..Barabara ilijengwa kipindi gani? Mhusika Mkuu?
 
Hii picha umepiga au? Na kama umepoga, umepiga na Simensi kidole juu?
 
Haha!! Duh barabara ilikuwa jipu?
 
Hio bara bara sio jipu.. Hapo inawezekana kuna mvua kubwa ilinyesha na kingo za bara bara zikaondoka
 
Sio TZ nimei-google hiyo picha inaniambia ni Nepal ilikuwa tetemeko la ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…